owk owk...keshazipata na ameshazikubali!Sina sera na Smile mimi nimemwagia sifa to your woman, don't you proud of this?
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na akitoa mada atajitahidi sana kumjibu kila mtu tofauti na watoa mada ambao akishatoa mada yeye anaishia hachangii tena. Kumbuka kisa kilichompata cha kutonyoa mavuzi na ile ya kupimwa mimba na headteacher. Smile i love you !, you are brilliant gal !
Jana Smile alinitumia ujumbe unasomeka hivi
Dunda nakupenda sana hahahah mkuu rigwarride unalolianzisha utapiga kwata saa saba mchana kwenye kijua kikali
ungenipm tu tumalizane mkuu huku wanga wengi.
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
acha kumbania mwenzio kizuri kula na jirani yako bwana mmmh
ahahaaa marytina nikupunguzie nilikuambia njoo dar huku achana na wamasai na wajaluo huko huku raha hapa tunachit chat pia kanipm keshanitumia laki mbili za tax kwa mpesa nimdate holiday inn kwa dinnerhivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
Siamini kabsaaa....yaani unataka kufunguka kwa Lastname???acha kumbania mwenzio kizuri kula na jirani yako bwana mmmh
unatuma sh ngapi?Harafu siku hizi umekuwa mjanja ee? Maana huko nyuma ulikuwa mkimya sana au umelelewa katika familia za kidini sana?