Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Last edited by a moderator:
hayo ndiyo maneno bro. Nakuachia uunde kamati kuanzia maandalizi ya mahari, sendoff nimempa charminglady uwasiliane nae, harusi mpaka FUNGATE.

duh hayo madaraka ya Baba V siyataki aise yeye ndio mwenyekiti wacha aise aje atangaze
 
Last edited by a moderator:
duh hayo madaraka ya Baba V siyataki aise yeye ndio mwenyekiti wacha aise aje atangaze

E bwana Mr Rocky simamia kila kitu ukiwasiliana na maharusi, mie niko busy sana kum control kirusi mmoja anaitwa Vin Diesel anahatarisha ndoa za watu. nitakapohitajika nitatoa ushirikiano na ushikiliano
 
Last edited by a moderator:
E bwana Mr Rocky simamia kila kitu ukiwasiliana na maharusi, mie niko busy sana kum control kirusi mmoja anaitwa Vin Diesel anahatarisha ndoa za watu. nitakapohitajika nitatoa ushirikiano na ushikiliano
Vin Diesel amekua kirusi zaidi ya kirusi chenyewe
Mtu kila mwanamke anamtaka na anataka watu humu ndani wapigane ngumi Baba V hebu mpe ban ya wiki moja aise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom