CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,087
- 5,353
Ili ushinde Uchaguzi fedha sio kitu Cha kwanza dada yanguUna hela?
Asante sana mkuu wanguKaingia ndugu.
Kawe mkweli
Kutana na wadau wafundishe vzuri.
Teuliwa kwanza na chama==
Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na kuwaongoza Wananchi wangu,
Mkuu kila mmoja na mapenzi yake hatuwezi wote kuwa CHADEMAJapokuwa ni haki yako ila naomba nikuite we ni MPUUZI. Ni aibu kuona kijana leo hii unaunga mkono hicho chama, anyway all the best.
Ni sawa ila lazima kuwa na malengo ya kuongoza watu.Teuliwa kwanza na chama
Unarukia jinsi utakavyowaongoza wananchi wakati hata uteuzi wa kuwa mgombea hujapata
Sawa nitawatafuta pia nyie consultantUsidharau taaluma, tuone wataalamu tukuandikie ajenda pamoja na strategic planning ya ku execute hili jambo.
Maana trust me, hii ni investment ya pesa nyingi kama kweli una maanisha, na huwezi kwenda bila plan
Ushauri wangu , kama muislam basi tafuta madrasa au msikiti uongoze. Ukiondoka ktk dunia mapato yako yataingia kwa wingi ktk account yako==
Mimi kada wa CCM mwenye namba ya uanachamq CM 1774858,
Natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu.
Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7,
Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na kuwaongoza Wananchi wangu,
Asanteni sana naombeni baraka zenu,
KaribuSawa nitawatafuta pia nyie consultant
DuuuhUshauri wangu , kama muislam basi tafuta madrasa au msikiti uongoze. Ukiondoka ktk dunia mapato yako yataingia kwa wingi ktk account yako
Asante sana MkuuSawa hamna shida, wewe tangaza tu
Sawa sawa kiongoziNamimi wazee wameniomba natangaza nia na nitaingia ulingoni na Jumanne Kishimba.
Nimekuwa maarufu sana humu jf,mh.Rais nione japo Kwa u DC 🔥🔥Wewe si ndiyo ChoiceVariable vipi unagombea wapi ili tuone namna ya kukusaidia mkuu?