Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 200
kumtoa Selasini ni kuonyesha udhaifu wa chadema kwani sku zote aliyeteuliwa na kamati kuu ya chama ndiyo yuko sahihi, kama vp jaribu uone utaipenda mwanangu
Huyu jamaa ni mbabaishaji wa kawaida tuu.. Hawezi kulalamikia huku ilhali hata hali halisi ya Rombo haijui. Angeonyesha uungwana wake kwa kumshauri Mhe. Selasini kule anakodhani kuwa hafanyi kazi yake vizuri badala ya kutokwa mapovu mdomoni kuwa atagombea Ubunge 2015!