Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

kumtoa Selasini ni kuonyesha udhaifu wa chadema kwani sku zote aliyeteuliwa na kamati kuu ya chama ndiyo yuko sahihi, kama vp jaribu uone utaipenda mwanangu

Huyu jamaa ni mbabaishaji wa kawaida tuu.. Hawezi kulalamikia huku ilhali hata hali halisi ya Rombo haijui. Angeonyesha uungwana wake kwa kumshauri Mhe. Selasini kule anakodhani kuwa hafanyi kazi yake vizuri badala ya kutokwa mapovu mdomoni kuwa atagombea Ubunge 2015!
 
Natangaza rasmi 2015 nitagombea ubunge-Rombo kupitia CDM. Nimeamua kufanya hivyo baada ya kutafakari kwa mda mrefu maombi ya makundi mbalimbali ya jamii ya wana Rombo kugombea tangu mwaka 2005 na hivi juzi ujumbe wa wazee watatu wa Rombo walinifuata Kilindi-TANGA ninakofanya kazi wakinitaka nisiwaangushe 2015. Wadau nishaurini.

Rmb haina KIWANDA,CHUO CHA ELIMU YA JUU, na hata chuo cha elimu ya kati nafikiri mpaka sasa ni kimoja tu kile cha uuguzi pale Mkuu-Huruma.Tueleze wanajamvi mikakati yako ya kuibana serikali walau tupate chuo kimoja cha ualimu kwa kuanzia? Kwa sasa Rmb ni zaidi ya siasa! inahitaji mbunge anayeweza kufanya lobbying, kwa mfano kwa idadi ya watu wa rombo, hospitali nzuri ya wilaya ya rombo, usafiri wa uhakika na uwepo wa wahitimu wengi wa shule za sekondari ni baadhi ya vivutio vingi tu ambavyo rombo ingeweza kuvitumia kushawishi serikali na wamiliki wengine wa taasisi za elimu ya juu kufungua matawi yao hapa rombo.Mnaoweka nia ya ubunge 2015 plse tunaomba mikakati yenu ya elimu? au mnataka vijana wetu wenye div.111 & iv waendelee kuendesha bodaboda angali tunaweza kuwakomboa?
 
ni uamuzi mzuri kama wangu hila angalia matatizo ya rombo miaka 45 iyopita ccm walishika nini kikubwa waliwaletea badili uamuzi rudi jukwani tukushauri tunasema vijana taifa la kesho sasa hawa wazee wa 3 waliokufuata ni taifa kesho?
 
Hapo jf unaomba kura ama unataka kutuambia nini??hapa kuna kamati kuu ya chama??umeahidiwa kupitishwa na kamati kuu kuja kugombea 2015?hayo yote ujayamaliza wala kuyatekeleza pili huyo mbunge aliyeko sasa hivi ajafika nusu ya mda wake kisheria sasa unataka tumpime vipi na wewe??tatu umekisaidia vipi chama mpaka sasa hivi ndiyo uje kujitapa hapa utagombea jimbo la rombo kana kwamba umeshapitishwa na kamati kuu,nne we unaishi Tanga matatizo ya wanarombo unayajua vp?ni nani na ni asasi gani za kijamii zilizokufwata kukuomba ugombee rombo?mwisho umeona udhahifu gan wa wa kiuongozi,kisera na kiutekelezaji wa ahadi alizo ahidi mbunge aliyoko sasa mpaka useme unaitaka rombo 2015?acha bla bla wewe jimbo alitafutwi hivyo kaonyeshe uwajibikaji utushawishi wanarombo usituletee mambo ya pesambili hapa
 
Natangaza rasmi 2015 nitagombea ubunge-Rombo kupitia CDM. Nimeamua kufanya hivyo baada ya kutafakari kwa mda mrefu maombi ya makundi mbalimbali ya jamii ya wana Rombo kugombea tangu mwaka 2005 na hivi juzi ujumbe wa wazee watatu wa Rombo walinifuata Kilindi-TANGA ninakofanya kazi wakinitaka nisiwaangushe 2015. Wadau nishaurini.

Mimi nakuunga mkono kama unadhamira ya dhati kwa sbb zifuatazo, kwanza huyu alieko sasa hivi kushindwa kuleta maendeleo na kueneza chama pamoja na yeye kusema ameleta maendeleo kwa kuchangia makanisa, shule na vikundi mbali*2 wanapomwita ktk harambee zao. Lakini je hayo ni maendeleo? mambo ambayo hata mm ambae si mbunge nayafanya.

Pili ni kutokueneza chama, mm nimezaliwa kule na naenda mara*2, nimejaribu kutembelea vitongoji kadhaa vijiweni hakuna alichofanya kabisa na cdm isipogundua hili italipoteza jimbo. Siku moja nilikutana nae mahakama ya arusha kwenye kesi moja ya chama, nikamsizitizia umuhimu wa yeye kufanya kazi ya chama kama katiba ya cdm inayomweleza kuwa ni katibu mwenezi ktk jimbo lake.

Majibu alionipa yalinivunja nguvu kabisa, eti yeye anashughuli nyingi na akanitaka mm nikafanye hiyo kazi tena kanambia ofis ya chama iko pale wilayani na nikienda pale nikiwaeleza nataka nikafungue matawi watanipa ushirikiano eti yeye hawezi kuweka chama mfukoni wakati chama ni cha watu wote. Nikajiuliza maswali mengi sana, nitaenda kama nani wakati mm ni mwanachama wa kawaida? Pili pesa nitatoa wapi wakati sipati pesa kupitia chama kama yeye anavyopata kupitia ubunge wake alioupata kwa tiket ya chama? Tatu mm na yeye ni nani ambaye anaweza kusikilizwa na wanarombo mpaka wakahamasika kuchangia chama kikapata pesa ya kufanya huo uenezi?

Mbona G. LEMA mbunge wa Arusha ameweza kuhamasisha wana arusha hata wakaweza kuchangia chama na sasa kimeimarika na kiko kwenye damu za watu? Kama anania ya dhati ya kuimarisha chama Rombo kwa nini asimfuate LEMA mbunge wa Arusha akampa siri ya urembo? Badala yake kazi ni kudai posho za ubunge ziongezwe na wakati huohuo anafitinisha baadhi ya wabunge wa cdm kuwa wamepokea rushwa.

Nawaasi viongozi wa cdm waone hili na wakakinusuru chama kule Rombo tofauti na hapo watalipoteza jimbo hilo.

Mimi ni mkereketwa wa chama na nchi.
 
ni uamuzi mzuri kama wangu hila angalia matatizo ya rombo miaka 45 iyopita ccm walishika nini kikubwa waliwaletea badili uamuzi rudi jukwani tukushauri tunasema vijana taifa la kesho sasa hawa wazee wa 3 waliokufuata ni taifa kesho?

una elimu gani wewe? weka cv hapa!
 
Mimi nakuunga mkono kama unadhamira ya dhati kwa sbb zifuatazo, kwanza huyu alieko sasa hivi kushindwa kuleta maendeleo na kueneza chama pamoja na yeye kusema ameleta maendeleo kwa kuchangia makanisa, shule na vikundi mbali*2 wanapomwita ktk harambee zao. Lakini je hayo ni maendeleo? mambo ambayo hata mm ambae si mbunge nayafanya.

Pili ni kutokueneza chama, mm nimezaliwa kule na naenda mara*2, nimejaribu kutembelea vitongoji kadhaa vijiweni hakuna alichofanya kabisa na cdm isipogundua hili italipoteza jimbo. Siku moja nilikutana nae mahakama ya arusha kwenye kesi moja ya chama, nikamsizitizia umuhimu wa yeye kufanya kazi ya chama kama katiba ya cdm inayomweleza kuwa ni katibu mwenezi ktk jimbo lake.

Majibu alionipa yalinivunja nguvu kabisa, eti yeye anashughuli nyingi na akanitaka mm nikafanye hiyo kazi tena kanambia ofis ya chama iko pale wilayani na nikienda pale nikiwaeleza nataka nikafungue matawi watanipa ushirikiano eti yeye hawezi kuweka chama mfukoni wakati chama ni cha watu wote. Nikajiuliza maswali mengi sana, nitaenda kama nani wakati mm ni mwanachama wa kawaida? Pili pesa nitatoa wapi wakati sipati pesa kupitia chama kama yeye anavyopata kupitia ubunge wake alioupata kwa tiket ya chama? Tatu mm na yeye ni nani ambaye anaweza kusikilizwa na wanarombo mpaka wakahamasika kuchangia chama kikapata pesa ya kufanya huo uenezi?

Mbona G. LEMA mbunge wa Arusha ameweza kuhamasisha wana arusha hata wakaweza kuchangia chama na sasa kimeimarika na kiko kwenye damu za watu? Kama anania ya dhati ya kuimarisha chama Rombo kwa nini asimfuate LEMA mbunge wa Arusha akampa siri ya urembo? Badala yake kazi ni kudai posho za ubunge ziongezwe na wakati huohuo anafitinisha baadhi ya wabunge wa cdm kuwa wamepokea rushwa.

Nawaasi viongozi wa cdm waone hili na wakakinusuru chama kule Rombo tofauti na hapo watalipoteza jimbo hilo.

Mimi ni mkereketwa wa chama na nchi.

nimekusoma, lakini kuhimiza na kuchangia shughuli za maendeleo ni njia kubwa sana na endelevu ya kukuza chama chochote cha kisiasa.Kama viongozi hawajikiti kwenye shughuli za maendeleo na kuendeleza bla bla kama za selasini chama husika kitapoteza mvuto kwa wapiga kura wake mara moja! Mramba nilikuwa namfagilia sana ila wizi wake ulimponza.Rmb tunataka kiongozi mchapakazi na anayejali maendeleo ya wapiga kura wake sio mtetea posho za wachache kama mzee selasini.
 
Ha ha ha ha! Usinichekeshe wewe! Nakuapia kama ukichukua form na ukapita kura ya maoni, mimi nitavua Gwanda nitapanda na chama chochote na ninakuhakikishia nitakumwaga! Mi nakujua sana wewe tena sana! Sasa njoo vijana tukufundishe siasa mpya!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Rmb haina KIWANDA,CHUO CHA ELIMU YA JUU, na hata chuo cha elimu ya kati nafikiri mpaka sasa ni kimoja tu kile cha uuguzi pale Mkuu-Huruma.Tueleze wanajamvi mikakati yako ya kuibana serikali walau tupate chuo kimoja cha ualimu kwa kuanzia? Kwa sasa Rmb ni zaidi ya siasa! inahitaji mbunge anayeweza kufanya lobbying, kwa mfano kwa idadi ya watu wa rombo, hospitali nzuri ya wilaya ya rombo, usafiri wa uhakika na uwepo wa wahitimu wengi wa shule za sekondari ni baadhi ya vivutio vingi tu ambavyo rombo ingeweza kuvitumia kushawishi serikali na wamiliki wengine wa taasisi za elimu ya juu kufungua matawi yao hapa rombo.Mnaoweka nia ya ubunge 2015 plse tunaomba mikakati yenu ya elimu? au mnataka vijana wetu wenye div.111 & iv waendelee kuendesha bodaboda angali tunaweza kuwakomboa?
Malema

Ukiwaambia watu wafanye siasa professionally utagombana nao bure......!
 
Ili usigombane nao ni vyema kuacha mambo yakiendeshwa kimagumashi? Wewe aliyekupiga chini BAVICHA aliokoa mengi.
No,where are you heading now?Umetoka kwenye key hebu soma vizuri post yangu urudi kwenye mjadala.....
Don't comment too quick no matter what your emotions say.Take time to grow with JF and let things happen naturally.

In short,dont try too hard to make it work if there's no hope in the horizon.
sas tusemeje Saanane, huo ndio ukweli mtupu na daima mafuta hutengana na maji kama vile uwongo unavyojitenga na ukweli.
Ni kweli tataizo hao unaowaambia hawapendi hayo mambo. Unajua tuliingia Mkenge mwaka 1995 tukawa na Mbunge Salakana na hakufanya kitu Rombo.Yeye alikuwa Busy na Biashara tu.watu hawakumjua vizuri kabla ya hapo na hakua na plan zozote ambazo ni viable kwa jimbo la Rombo.Tufikie hatua tushindanishe policy,tushindanishe hoja ili tupate mgombea mwenye uwezo na ambaye atashirikiana na wengine kuendeleza jimbo la Rombo

Hayo uliyouliza hapo juu ni ya msingi sana.Unfortunately wanasiasa wetu siku hizi hawataki kufanya hayo.Uwongo na propaganda tu.Rombo au jimbo lolote ambalo ni strategic huwezi kuliongoza kama huna plan nzuri.Propaganda hazileti miradi ya maendeleo sana sana tutachangia makanisani na misikitini tu na kuita vyombo vya habari ili uonekane mchapakazi with nothing to show off after your term.
 
Don't comment too quick no matter what your emotions say.Take time to grow with JF and let things happen naturally.

In short,dont try too hard to make it work if there's no hope in the horizon.
.

Hapo ndipo unapofanya vizuri, kupangilia maneno kwa kiingereza. I hope someday it will work for you somehow.
 
Mimi nakuunga mkono kama unadhamira ya dhati kwa sbb zifuatazo, kwanza huyu alieko sasa hivi kushindwa kuleta maendeleo na kueneza chama pamoja na yeye kusema ameleta maendeleo kwa kuchangia makanisa, shule na vikundi mbali*2 wanapomwita ktk harambee zao. Lakini je hayo ni maendeleo? mambo ambayo hata mm ambae si mbunge nayafanya.

Pili ni kutokueneza chama, mm nimezaliwa kule na naenda mara*2, nimejaribu kutembelea vitongoji kadhaa vijiweni hakuna alichofanya kabisa na cdm isipogundua hili italipoteza jimbo. Siku moja nilikutana nae mahakama ya arusha kwenye kesi moja ya chama, nikamsizitizia umuhimu wa yeye kufanya kazi ya chama kama katiba ya cdm inayomweleza kuwa ni katibu mwenezi ktk jimbo lake.

Majibu alionipa yalinivunja nguvu kabisa, eti yeye anashughuli nyingi na akanitaka mm nikafanye hiyo kazi tena kanambia ofis ya chama iko pale wilayani na nikienda pale nikiwaeleza nataka nikafungue matawi watanipa ushirikiano eti yeye hawezi kuweka chama mfukoni wakati chama ni cha watu wote. Nikajiuliza maswali mengi sana, nitaenda kama nani wakati mm ni mwanachama wa kawaida? Pili pesa nitatoa wapi wakati sipati pesa kupitia chama kama yeye anavyopata kupitia ubunge wake alioupata kwa tiket ya chama? Tatu mm na yeye ni nani ambaye anaweza kusikilizwa na wanarombo mpaka wakahamasika kuchangia chama kikapata pesa ya kufanya huo uenezi?

Mbona G. LEMA mbunge wa Arusha ameweza kuhamasisha wana arusha hata wakaweza kuchangia chama na sasa kimeimarika na kiko kwenye damu za watu? Kama anania ya dhati ya kuimarisha chama Rombo kwa nini asimfuate LEMA mbunge wa Arusha akampa siri ya urembo? Badala yake kazi ni kudai posho za ubunge ziongezwe na wakati huohuo anafitinisha baadhi ya wabunge wa cdm kuwa wamepokea rushwa.

Nawaasi viongozi wa cdm waone hili na wakakinusuru chama kule Rombo tofauti na hapo watalipoteza jimbo hilo.

Mimi ni mkereketwa wa chama na nchi.
Ni kweli kabisa selasini ameshindwa kuijenga CHADEMA katika wilaya ya rombo huwez ukajua kama linaongozwa na mbunge wa CHADEMA.BEN sasa ni muda wako wa kuchukua jimbo liko waz
 
Back
Top Bottom