jimbo gani????????
Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi kushinda
Tumeiacha kazi ya kupigania taifa hili kwa akina Tundu lisu, well tumechangia mawazo, muda na pesa lakini tumesahau kuwa tunapaswa kuingia kilingeni na kupambana na Dhuluma kwa taifa hili.
Nilichojifunza toka kwa wananchi ni kwamba, Ukijiandaa na ukijipanga unaweza kushinda na kila ushindi wa CHADEMA ni pigo kwa CCM, jamani tuamke, Twende majimboni tuanze kujiandaa 2015.
Kuna baadhi ya wagombea wa CHADEMA hawafanani na Chama hasa wale wanaotoka CCM, Heshima kwa SHIBUDA lakini wengi toka CCM hawasaidii CHADEMA. Tunahitaji kutengeneza wagomea wetu, vijana wasomi na wenye uelewa maana wapo wasomi wa aina ya Willium Malecela. Hapana nasungumzia watu kama Mnyika, Mdee, nk....
Lets go out, lets create a network now, lets start fundrising, lets take them out. tutumie uzoefu wa akina Mnyika, Mdee, Zito Kabwe (Hata kama simfahamu vizuri siku hizi tofauti na zamani) Kafulila David, Regia (hata kama Kaibiwa) Tundu Lisu nk kukomboa taifa hili
Over the course of the next 5 years, CCM will face the harshest criticism and scrutiny they have ever faced.
By 2015, CCM will be a very very weak party. The fall of CCM is inevitable.
Isimani Iringa
Kaka hii ni kweli, mimi kwanza nina dought huyu jk KAMA ATALAZIMISHA KUINGIA MADARAKANI HATAWEZA KUAMLIZA 5 YEARS

this sound good like a songmi najipanga kulinyakuwa jimbo la Ilala ili niwe Mbunge wa Rais ajae.
Coz si unajuwa Ikulu iko Ilala?
Yaani ni kama vile Halima Mdee anavyowaongoza wakuu wa Serikali wanaoishi O'bey, Mikocheni, Msasani, na vibopa wa Mbezi beach, wajeda wa Lugalo nk nk...
Au kama Mnyika anavyowaongoza wasomi wa UD...
Mkuu hii ni kweli kabisa mark these words...Kaka hii ni kweli, mimi kwanza nina wasiwasi na huyu jk KAMA ATALAZIMISHA KUINGIA MADARAKANI HATAWEZA KUMaLIZA 5 YEARS