Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi kushinda
Tumeiacha kazi ya kupigania taifa hili kwa akina Tundu lisu, well tumechangia mawazo, muda na pesa lakini tumesahau kuwa tunapaswa kuingia kilingeni na kupambana na Dhuluma kwa taifa hili.
Nilichojifunza toka kwa wananchi ni kwamba, Ukijiandaa na ukijipanga unaweza kushinda na kila ushindi wa CHADEMA ni pigo kwa CCM, jamani tuamke, Twende majimboni tuanze kujiandaa 2015.
Kuna baadhi ya wagombea wa CHADEMA hawafanani na Chama hasa wale wanaotoka CCM, Heshima kwa SHIBUDA lakini wengi toka CCM hawasaidii CHADEMA. Tunahitaji kutengeneza wagomea wetu, vijana wasomi na wenye uelewa maana wapo wasomi wa aina ya Willium Malecela. Hapana nasungumzia watu kama Mnyika, Mdee, nk....
Lets go out, lets create a network now, lets start fundrising, lets take them out. tutumie uzoefu wa akina Mnyika, Mdee, Zito Kabwe (Hata kama simfahamu vizuri siku hizi tofauti na zamani) Kafulila David, Regia (hata kama Kaibiwa) Tundu Lisu nk kukomboa taifa hili