Elections 2010 Natangaza kugombea Ubunge 2015. kupitia CHADEMA, naanza maandalizi sasa

Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
2
Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi kushinda

Tumeiacha kazi ya kupigania taifa hili kwa akina Tundu lisu, well tumechangia mawazo, muda na pesa lakini tumesahau kuwa tunapaswa kuingia kilingeni na kupambana na Dhuluma kwa taifa hili.

Nilichojifunza toka kwa wananchi ni kwamba, Ukijiandaa na ukijipanga unaweza kushinda na kila ushindi wa CHADEMA ni pigo kwa CCM, jamani tuamke, Twende majimboni tuanze kujiandaa 2015.

Kuna baadhi ya wagombea wa CHADEMA hawafanani na Chama hasa wale wanaotoka CCM, Heshima kwa SHIBUDA lakini wengi toka CCM hawasaidii CHADEMA. Tunahitaji kutengeneza wagomea wetu, vijana wasomi na wenye uelewa maana wapo wasomi wa aina ya Willium Malecela. Hapana nasungumzia watu kama Mnyika, Mdee, nk....

Lets go out, lets create a network now, lets start fundrising, lets take them out. tutumie uzoefu wa akina Mnyika, Mdee, Zito Kabwe (Hata kama simfahamu vizuri siku hizi tofauti na zamani) Kafulila David, Regia (hata kama Kaibiwa) Tundu Lisu nk kukomboa taifa hili
 
Over the course of the next 5 years, CCM will face the harshest criticism and scrutiny they have ever faced.

By 2015, CCM will be a very very weak party. The fall of CCM is inevitable.
 
KURA ZAKE BADO ZINA UTATA MJOMBA, BUT U HAVE GOT GOOD IDEA And God gonna bless you and your plan
 
Over the course of the next 5 years, CCM will face the harshest criticism and scrutiny they have ever faced.

By 2015, CCM will be a very very weak party. The fall of CCM is inevitable.

Kaka hii ni kweli, mimi kwanza nina wasiwasi na huyu jk KAMA ATALAZIMISHA KUINGIA MADARAKANI HATAWEZA KUMaLIZA 5 YEARS
 
kama kwa rostam kaka umeshinda maana nina uhakika kikwete akimaliza muda wake rostam hana chake kama unavyojua ccm wanamakundi ndani kwahiyo lazima utumie nafasi hii mjomba. utanikumbuka
 
Isimani Iringa

Yaani wewe umeshakuwa mbunge...kwa yule mbwiga anayepewa vyeo viwili viwili i hali hana uwezo wa kudeliver! mkuu nenda jimbo hilo lako tayari! Mh. Mbunge wa Isimani ...ha ha ha!
 
Kaka hii ni kweli, mimi kwanza nina dought huyu jk KAMA ATALAZIMISHA KUINGIA MADARAKANI HATAWEZA KUAMLIZA 5 YEARS

thats why we need to decide and start preparing the ground today, open special account and mobilize resources both Manpower and cash. kwa mfano, tukichukua ripoti ya uchaguzi ya NEC, chukua majina ya wagombea udiwani na ubunge waliofanya vizuri jimboni japo hawajashinda, waweke kwenye chama kimoja (Chadema) wagawanye kimajukumu kwa kata na vijiji, fanya utafiti wa kero za watu na anza kuzisemea mapema kaga agenda yako.

Peleka jimboni bendera za kutosha na hakikisha operation Nyangumi inafika jimboni. tengeneza network na timu nzuri ya kampeni (2015) ikifika unafanikiwa kuongeza jimbo la upinzani na kuchangia kuiangusha CCM
 
mi najipanga kulinyakuwa jimbo la Ilala ili niwe Mbunge wa Rais ajae.
Coz si unajuwa Ikulu iko Ilala?

Yaani ni kama vile Halima Mdee anavyowaongoza wakuu wa Serikali wanaoishi O'bey, Mikocheni, Msasani, na vibopa wa Mbezi beach, wajeda wa Lugalo nk nk...

Au kama Mnyika anavyowaongoza wasomi wa UD...
 
hongera mkuu kwa kuliona hilo heshima mbele kurudi nyuma mwiko.............................anza kuwka kambi sasa hivi huko ismani maana najuwa kuwa mheshimwa lukuvi atakuja huk huku dar kwa hiyo atakuwa hana muda jimboni kwake. jimbo lako hilo mola aktuweka hai...........weka account kam namna gani vp tuanze kukuchangia sasa hivi.
 
mi najipanga kulinyakuwa jimbo la Ilala ili niwe Mbunge wa Rais ajae.
Coz si unajuwa Ikulu iko Ilala?

Yaani ni kama vile Halima Mdee anavyowaongoza wakuu wa Serikali wanaoishi O'bey, Mikocheni, Msasani, na vibopa wa Mbezi beach, wajeda wa Lugalo nk nk...

Au kama Mnyika anavyowaongoza wasomi wa UD...
this sound good like a song
:violin::violin::peace:
 
Kweli kabisa john mnyika kwa sasa ni bosi wa mukandala pamoja na mke wake. Mnyka saluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuut baba.
 
Uzoefu na uchungu nilioupata kupitia uchaguzi huu umenifanya niamue kuingia kilingeni, labda upinzani unakosa maandalizi majimboni, unakosa wagombea wenye uwezo na unakosa mkakati wa kisayansi kushinda

Tumeiacha kazi ya kupigania taifa hili kwa akina Tundu lisu, well tumechangia mawazo, muda na pesa lakini tumesahau kuwa tunapaswa kuingia kilingeni na kupambana na Dhuluma kwa taifa hili.

Nilichojifunza toka kwa wananchi ni kwamba, Ukijiandaa na ukijipanga unaweza kushinda na kila ushindi wa CHADEMA ni pigo kwa CCM, jamani tuamke, Twende majimboni tuanze kujiandaa 2015.

Kuna baadhi ya wagombea wa CHADEMA hawafanani na Chama hasa wale wanaotoka CCM, Heshima kwa SHIBUDA lakini wengi toka CCM hawasaidii CHADEMA. Tunahitaji kutengeneza wagomea wetu, vijana wasomi na wenye uelewa maana wapo wasomi wa aina ya Willium Malecela. Hapana nasungumzia watu kama Mnyika, Mdee, nk....

Lets go out, lets create a network now, lets start fundrising, lets take them out. tutumie uzoefu wa akina Mnyika, Mdee, Zito Kabwe (Hata kama simfahamu vizuri siku hizi tofauti na zamani) Kafulila David, Regia (hata kama Kaibiwa) Tundu Lisu nk kukomboa taifa hili

Nakuunga mkopno kaka. Kukaa tu na kulalamika hakusaidii twende tukagombee kila kitu kinawezakana
 
Kama unamaanisha Mungu akutangulie na akufanikishe,penye nia pana njia.
 
Over the course of the next 5 years, CCM will face the harshest criticism and scrutiny they have ever faced.

By 2015, CCM will be a very very weak party. The fall of CCM is inevitable.

This is 110% fishy fish! Teh teh teh!!!!!

It was October 31, 2010 but now the date has been tentatively moved to 2015! Teh teh teh!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom