Natangaza kiama kwa huyu daktari uchwara

Kisa chako kinataka kufafana na changu ,Mimi pia Nina gal wangu anamaliza chuo mwez wa 7 mwaka huu kiu bachelor of paharmacy now tuna ugomvi hataki kunielew anataka tuachane kirahis hivyo wakti anakaribia kumaliza chuo ili tutimize malengo yetu kwa kuw nilikuw nasubir amalize chuo nikajitamburishe kwao na maisha yaendlee
Hawa watoto ni changamoto Sana ndugu mi ninachoona ni kutemana tu nao
 
Bila shaka huyo binti anatoka chuo al.maarufu mjini moshi kinachokwenda kwa jina la ushirika au muccobs. Ndio chuo pekee chenye mama kali,,,hao majamaa wa KCMC wengi huja kuwinda nyapu mida ya jioni hivi.

Pole sana kiongozi mama ishaliwa na Dokta anampa maisha, wale jamaa wanakuwaga na apartment kali sana maeneo ya Ushirika wa Neema kule so sio bure demu wako mtoto wa mlima kahawa kapagawa na furniture kali, carpet manyoya na nchi 55 ukutani na madude ya kubofya huku nje akiwa kapaki mnyama kazi automobile.

Ulichokosea: Umemuamini mwanamke asie mzazi wako, hao kanuni ya kwanza ibara ya tatu inasema mpenzi wa kike hasomeshwi bila mimba, inabidi awe na kitu flani tumboni ili akili zikae sawa vinginevyo ada yako na matumizi vitatambulika kama sadaka kisheria na kanuni za uchumba wa sogea tuishi.

Kifungu kidogo kinachofuatia kinakazia ya kwamba mpenzi wako unataka kumsomesha sharti awe mkeo wa ndoa ili kuepusha hali ya sintofahamu huko mbeleni. Jicho la sheria linamtazama mwanamke alieolewa kwamba yupo less skeptical with infidelity tofauti na asie na ndoa kwa dhamana ya ndoa yenyewe pamoja na watoto wako aliokuzalia ambao wako entitled kwa jina lako.
Ni changamoto Sana ndugu yangu nilichoona niachane nao tu
 
Mleta mada utakuwa mjinga sana.

Bifu?

Huyo Daktari amekukosea nini hasa?
Fahamu kuwa, binti yoyote ana haki na uhuru wa kuchagua mwanaume yupi amuoe. Kazi ya wanaume ni kushindana tu kumshawishi msichana akubali. Na mshindi huwa ni mmoja tu, na wengine wote mtakaoshindwa mnakubali matokeo na kumpa pongezi mshindi. Huo ndio uungwana na ndio uanaume.

Gharama?
Unaweza kusema wewe umemsomesha huyo na huyo Daktari naye akaja kusema ameokoa maisha yake kwa kumtibu. Sasa nani amegharamia zaidi? Na kama umeingia gharama na unaumia, basi mdai huyo dada akulipe, lakini nalo ni ujinga tu, maana wakati unaingia hizo gharama ilikuwa ndio sehemu ya furaha yako kuwa na urafiki wa kimapenzi na huyo dada.

Mapenzi?
Huwezi kulazimisha, kama binti hakupendi basi usijaribu kabisa kulazimisha kumuoa. Huwezi jua, huenda ndoto za huyo binti kuolewa na Daktari. Sasa wewe utatosheaje hapo?
Nishaacha nao
 
No. 3 Imenishangaza, namba yake ya whatsapp hauna hadi uambiwe na watu wengine!?
Ila pole sana, hiyo ndo faida ya kusomesha mwanamke.
Ninayo whatsapp siku unaweza ukachagua mtu wakuona na ambao hutaki waone hiyo profile picture mkuu
 
Unamwita Daktari Uchwara wakati anakutafunia kitumbua chako!
Huyo 'Daktari uchwara' ataendelea kujipigia kimwana wako kila siku na wewe utakuwa uko busy kutuletea mrejesho hapa JF jinsi unavyopigiwa.
 
Pole sana mkuu.

Lakini chama cha wanaume tz tulijiwekea sheria.

Sheria no 4.
Mchumba au dem hasomeshwi mwanamke unayeruhusiwa kumsomesha ni mke wako au binti uliye mtia mimba.

Ungempa kwanza mimba huyo demu ndio ukampeleka shule ili siku akikuzingua basi mwanao atakusaidia kukusanya pesa yako uliyomsomeshea kwa malezi atakayopata.

Dr hana kosa kosa ni lako kutokusoma na kufwata sheria

naunga mkono hoja
 
Unamwita Daktari Uchwara wakati anakutafunia kitumbua chako!
Huyo 'Daktari uchwara' ataendelea kujipigia kimwana wako kila siku na wewe utakuwa uko busy kutuletea mrejesho hapa JF jinsi unavyopigiwa.
Basi mzee,unapigilia msumari wa moto kwenye kidonda kibichi
 
Mleta mada utakuwa mjinga sana.

Bifu?

Huyo Daktari amekukosea nini hasa?
Fahamu kuwa, binti yoyote ana haki na uhuru wa kuchagua mwanaume yupi amuoe. Kazi ya wanaume ni kushindana tu kumshawishi msichana akubali. Na mshindi huwa ni mmoja tu, na wengine wote mtakaoshindwa mnakubali matokeo na kumpa pongezi mshindi. Huo ndio uungwana na ndio uanaume.

Gharama?
Unaweza kusema wewe umemsomesha huyo na huyo Daktari naye akaja kusema ameokoa maisha yake kwa kumtibu. Sasa nani amegharamia zaidi? Na kama umeingia gharama na unaumia, basi mdai huyo dada akulipe, lakini nalo ni ujinga tu, maana wakati unaingia hizo gharama ilikuwa ndio sehemu ya furaha yako kuwa na urafiki wa kimapenzi na huyo dada.

Mapenzi?
Huwezi kulazimisha, kama binti hakupendi basi usijaribu kabisa kulazimisha kumuoa. Huwezi jua, huenda ndoto za huyo binti kuolewa na Daktari. Sasa wewe utatosheaje hapo?
Ni changamoto Sana ndugu yangu nilichoona niachane nao tu
Potezea tu mzeebaba, mi sikuzote naamini kama mwanaume una ubavu wa kupambana na maisha basi mwanamke ni sehemu ya ziada tu katika maisha.
Amini utapata pisi kali zaidi yake kisha akimwagwa huko alipo atarudi kwako kwa magoti huyo fala. Akirudi usimpokee mchane aende palipomfaa, malipo ni hapa hapa duniani kaka!
 
Unamwita Daktari Uchwara wakati anakutafunia kitumbua chako!
Huyo 'Daktari uchwara' ataendelea kujipigia kimwana wako kila siku na wewe utakuwa uko busy kutuletea mrejesho hapa JF jinsi unavyopigiwa.
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom