functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
Ni uongo aiseeKwani kasingiziwa au ni ukweli?
Nenda mahakamani mkuu!Ni uongo aisee
Nenda mahakamani mkuu!
Kudil nae kimtaa kuna mawiliHapana inabid ni dili nae kimtaa
Kudil nae kimtaa kuna mawili
1.Kushindwa
2.Kushinda,so uwe na tahadhari!
kwani ule msemo wa kiswahili kuwa ukweli unauma huwa ni kweli?
Ha ha ha ha poleeeSaingine misemo ya kiswahili haifanyi kazi hasa kwenye matukio sensitive kama haya
Mafate kwake utampata
una uhakika kuwa hazibuliwi chooNi uongo aisee
una uhakika kuwa hazibuliwi choo
Hapana inabid ni dili nae kimtaa