Natamani. . . . . .

Sasa nini kinachokuzuia,kama sabuni huna usiku huu tumia hata mafuta ya kula,blue band,Lotion,au hata Vaseline kama ipo karibu huwa ni nzuri sana ila jihadhari usitumie Lotion yeyote yenye kemikali kesho ukaja kunitangazia vita hapa....

Hahaha! Atumie karolaiti! Umenichekesha kweli, blue band asipooga na omo panya hawakawii kula hiyo kitu wakidhani ni mkate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…