the glassroof
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 295
- 449
Utakesha mama, subiri uolewe.siko hivyo na siwezagi kudanganya
Utakesha mama, subiri uolewe.siko hivyo na siwezagi kudanganya
sina uwezo wa kufanya hivyo badoAnza kujitegemea umri unaruhusu mkuu.
Ukishajitegemea utakuwa huru kwa kila kitu.
asanteDuh, ok natumai utapata ushauri kwa wenye uzoefu na mazingira yako.
sawaUtakesha mama, subiri uolewe.
sheare you she or he?
sina uwezo wa kufanya hivyo bado
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mbona nyie mna mbinu nyingi tu, ugua serious ukalazwe. Time ikifika toroka wodini kajirushe wee.
Asubuhi rudi wodini na mashuka, waambie umetoroshwa na wachawi kusikojulikana then watakurelease.
Kaishi hata jalalan we unaulizaje mtu niende wapi.. akili za kuambiwa changanya na za kwakoniende wapi sa?
sawaUnataka kuwa huru,... Kapangishe nyumba ya kwako, uanze maisha yako
sawaat the age of 23.......hujaamua tuu...
kwelipost nyingine zinaonyesha umri wa mtu kabisa
sawaKaishi hata jalalan we unaulizaje mtu niende wapi.. akili za kuambiwa changanya na za kwako
sawaIta vibaka wavunje mlango utaenda na utarudi salama mkuu.