- Thread starter
- #41
sawaSiku ikikaribia ya tukio omba ruhusa ya siku kadhaa hapo nyumbani kuwa unaenda kwa rafiki yako kumtembelea.
sawaSiku ikikaribia ya tukio omba ruhusa ya siku kadhaa hapo nyumbani kuwa unaenda kwa rafiki yako kumtembelea.
nitajaribuWambie wazaz wako unataka uwe huru nani kakuzuia,..
Nonsense stop acting as dumbass nigga...Kijana, acha kuwaza maisha ya anasa kabla ya wakati wake. Tulia msaidie mama yako kukuna nazi, kukata kata vitunguu na kuosha masufuria na mwiko.
Are you his chick or something?Nonsense stop acting as dumbass nigga...
hii ni hatari.at the age of 23.......hujaamua tuu...
Kesho yake patachimbikawewe aga usiombe ruhusa.
and that really suckshey young fella...as long as you're under your parents guardianship...boy u gotta live by em' rules
kwa nini wakati umeaga...unasema mama kesho naenda .........................basiKesho yake patachimbika
He says he is a she....!!hey young fella...as long as you're under your parents guardianship...boy u gotta live by em' rules
Nimekusoma kupitia uzi wako na majibu yako kwa baadhi ya koments kwamba una miaka 23 na ni She.
Ushauri wangu kwako ni:-
Mosi, umri wako ni mkubwa sana, hufai kuendelea kukaa kwa wazazi wako.
Pili, kwakuwa kila jambo lina umuhimu wake likifanyika ktk hatua za ukuaji wa binadamu. Na kwakuwa wewe umeruka mambo mengi kutokana na restrictions. Na kwakuwa umri umesonga kwa ajili ya kuokewa,
Inabidi usitishe mpango wa kuingia kwenye ndoa kwa miaka 5 ili ufidie yote uliyowahi kuyakosa mfano kunywa sana, kungonoka sana, kukesha kwenye matamasha, n.k
Vinginevyo utakuja kuwa kituko uzeeni
Inabidi apindishe shingo tu hakuna namna nyingine. Wanaume hakuna, sasa atakaa kwao mpk menopause ? Atoke agegedeshe kisha ajipatie mtoto alee mwenyewe.MWANAMKE MWENYE HESHIMA ANAONDOKA KWAO KWA SENDOFF AU AJILI YA SHULE VINGINEVYO NI AIBU.
WANAUME WAPO ILA SIYO WA MASHARTI YENUInabidi apindishe shingo tu hakuna namna nyingine. Wanaume hakuna, sasa atakaa kwao mpk menopause ? Atoke agegedeshe kisha ajipatie mtoto alee mwenyewe.
Mmh ! Itabidi apunguze baadhi ya mashartiWANAUME WAPO ILA SIYO WA MASHARTI YENU
Unafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku?
Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo?
Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa?
Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kuna night concert flani sitaki kuikosa,ila naanzaje sasa,never been to one,hii naitaka sana
nawaza ntachezaje karata zangu nifanikiwe?
just wanna have some fun[emoji18]
ushawahi ona mtu anafurahi akiwa chuo than home,najiona mimi hapo.