KWANI KINACHOMTOROSHA NIKUFUATE HIYO STAREHE YA SIKU MOJA AU KULALA KWA MWANAUME MVULANA SIJAELEWA HAPO. KWA UKIPIMA OPPORTUNITY COST NI KUBWA MNO KWA UPANDE WA MADHARA KULIKO FAIDAToroka
Unataka kuja kumuona future eehUnafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku?
Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo?
Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa?
Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kuna night concert flani sitaki kuikosa,ila naanzaje sasa,never been to one,hii naitaka sana
nawaza ntachezaje karata zangu nifanikiwe?
just wanna have some fun[emoji18]
ushawahi ona mtu anafurahi akiwa chuo than home,najiona mimi hapo.
We ni me au ke.nipo chuo kwa sasa na hio concert itanikuta nikiwa nyumbani ndio maana.
Mkuu hama home 2 kaanzishe maisha yako utakuwa huru kwa lolote lile lakin kwa vile upo chini ya himaya ya wazaz u have to respect their rules 4 ur own perilUnafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku?
Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo?
Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa?
Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kuna night concert flani sitaki kuikosa,ila naanzaje sasa,never been to one,hii naitaka sana
nawaza ntachezaje karata zangu nifanikiwe?
just wanna have some fun[emoji18]
ushawahi ona mtu anafurahi akiwa chuo than home,najiona mimi hapo.
Mkuu unaniniangusha bhanaHe says he is a she....!!
Kivipi!!??Mkuu unaniniangusha bhana
Pole hayo maisha nimeyapitia sana ,ila kwenye shereh nilikuwa naenda ila napewa muda wa kurud, nakumbuk kuna siku nimeenda kwenye ubarikio nikachelewa kurud, nakumbuka baba na mam waliniambia nirud kwa wazazi Wang wa pili, nikajifany sijasikia nikaingia chumban kubad nguo ili nikaoge ,ile naingia jikon mama huyo na ukun nilipewa viboko vitatu vitakatifu na ikawa mwisho Wang kwenda kwenye sherehUnafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku?
Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo?
Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa?
Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kuna night concert flani sitaki kuikosa,ila naanzaje sasa,never been to one,hii naitaka sana
nawaza ntachezaje karata zangu nifanikiwe?
just wanna have some fun[emoji18]
ushawahi ona mtu anafurahi akiwa chuo than home,najiona mimi hapo.
Si anataka starehe na anajua hasara kubwa kuliko faida, tumshaurije sasa zaidi ya kutoroka akastarehe anavyotaka?KWANI KINACHOMTOROSHA NIKUFUATE HIYO STAREHE YA SIKU MOJA AU KULALA KWA MWANAUME MVULANA SIJAELEWA HAPO. KWA UKIPIMA OPPORTUNITY COST NI KUBWA MNO KWA UPANDE WA MADHARA KULIKO FAIDA