Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,762
- 8,533
Mbona rahisi tu. Angalia tatizo katika jamii yako kisha litatue
Pata inspiration toka kwa MoDewj.Yaani nimejikuta nikiwa kwenye dimbwi kubwa la msongo wa mawazo juu ya namna ya kubadilisha mfumo wa maisha wa kimasikini nilionao nitoboe na kuwa tajiri, SIPATI JIBU.
Tuanzie hapo mkuu. Tatizo ni wabunge wa CCM na CHADEMA. Nipe mbinu za kutajirika kupitia hiloMbona rahisi tu. Angalia tatizo katika jamii yako kisha litatue
Puga kazi utajir utakuja wenyeweeeYaani nimejikuta nikiwa kwenye dimbwi kubwa la msongo wa mawazo juu ya namna ya kubadilisha mfumo wa maisha wa kimasikini nilionao nitoboe na kuwa tajiri, SIPATI JIBU.
Kunywa pepsi big apo kwa mangi bill juu yngSiri ya kua Tajiri ni KUTUNZA SIRI