Natamani sana kuwa tajiri

Natamani sana kuwa tajiri

Mbona rahisi tu. Angalia tatizo katika jamii yako kisha litatue
 
Kupitia hiyo network uliotengeneza angalia Ni watu wanataka Nini kwa maana Ni watu ambao utawauzia Nini?

Mfano sisi tunaoishi chumba kimoja alafu tupo wapangaji 5 - 10 fanya hvi chukua mchele 50kg, mafuta 20lt Yale ya 1lt au 500ml pia dagaa wa Mwanza wale wakukaangwa Anza kuuzia majirani uliopanga nao, pili nyumba za jirani ambao una mahusiano mazuri tatu hyo network ulionayo.



Au



Tafuta Biashara ambayo wengi hawafanyi maeneo ulipo jitese kwa maana Anza Biashara yako kabla wenzako hawajaanza pili funga Biashara yako baada ya wenzako kufunga mwisho kuwa bahili na usicheke na kima hata Kama Ni sh 100 Kama n yako hakikisha ipo mfukoni Kama sio yako jitahidi iwe mfukoni kwako.
 
Back
Top Bottom