Natamani sana kuwa tajiri

Hahaha jiunge ccm kwanza udhulumu vya kutosha, dawa ya utajiri ni kudhulumu, ukitosheka unanza kufungua vijikampuni kwapesa za kudhulumu.
 
Wacheki hawa matajiri wakuwezeshe ule kuku
images-39.jpg
images-38.jpg
 
Utajiri wa kiwango kipi??
1.Kiwango cha akina Bakhera
2.utajiri wa kijanja janja kama wa MO
3.utajiri wa kiwango cha akina kikwete/lowassa/Mkono/Magu??
4.utajiri wa kiwango cha akina mafuruki??
5.utajiri wa kiwango cha akina Diamond/messi/CR7
6.utajiri wa kiwango cha akina abood/
7.utajiri kiwango cha akina dangote/Jeff bezos/salim/bilget???
 
Back
Top Bottom