Natamani sana kuoa

Wenye hela wamekaa kimya hawaongei pengine matilda amelijua hilo huna hela naumesema unazo akasepa
 

Basi ni chukue mm tuyajenge.kwani sibado unakile kibanda cha chips.
 
Umalaya dili kipindi hiki......kazi kwako kusuka au kunyoa
 
Wewe ninavyokuona usioe tu utampa shida mtoto wa watu bure.
 
Mkuu tatizo lako limeshajulikana, kama hela unazo, muonekano unao, basi tatizo litakuwa unaumwa ugonjwa wakuku
 
Njoo nikupigee kisomo tuondoe mikosi na nikupandishe nyota ili uwe na mvuto warembo wadumu kwako bei ni sawa na bureee kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…