Natamani sana kumuacha ila nashindwa

Natamani sana kumuacha ila nashindwa

keshampata mwingine, ila kule kuna vitu anavikosa ndoo maana bado anastick kwako, na kukwambia ukweli hawezi, anasubiri wewe ukate utepe na wewe huna hiyo courage, fanya hivi; tokeni out siku moja mpige kilaji kikikolea am sure atafunguka!!! lakini vile vile umejicheki perfomance yako ikoje kitandani?

Kwani mkuu ukiwa na good Perfomance ndo husaidiwi au?
 
Tatizo vijana wa siku hizi tunaogopa sana MAUMIVU/KUUMIA.

Ni bora upate MAUMIVU kwa muda kiasi kwa ajili ya kuielekea FURAHA ya milele kuliko kuogopa.

Sijaelewa unaanzaje kumuogopa binadamu mwenzio.

Kama moyo unasema muachane basi mwili na akili vinapaswa kutekeleza maazimio ya moyo bila kusita.
 
Tafta nyumba ndogo ikupunguzie mawazo atarudi kwenye mstari tuuu akiona attention inapungua kwake
 
follow your heart.... but carry your brain with you.
 
inaonekana nyie mnapendana ila dada ana mambo mengi
 
Ww unampenda Au unamtamani tuuuuu... Unawezaje kumpenda mtu anayekuzingua... Acha mapenzi ya kitoto ww.. Songa mbele mabinti wazuri watulivu wapo Wengi sanaaa kiongoz.
 
Jambo wana JF!
Nimekuwa na huyu mwanamke karibia miaka miwili sasa, mwanzoni mapenzi yetu yalishamiri sana nilimpenda sana na hakuna shaka lolote kuwa nae alikua akinipenda sana.

Ameanza vituko hivi karibuni. Amekuwa ni mwingi wa usiri, busy sana na simu tukiwa pamoja na hizi dalili zinanionesha kuwa kashapata bwana mwingine ila kila nikimpa uhuru wa kunieleza ukweli kama hanipendi tena anakuwa mgumu.

Mimi binafsi natamani sana kumuacha niendelee na maisha yangu ila moyo umekua mzito kwa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke, nimekuwa nikiumizwa sana na vitendo vyake hivi. Mbaya zaidi hivi karibuni nimemkuta na love bite ila yeye anapinga akisema si love bite kwa kuwa ni sehem ndogo tu.

Najitahidi nimpe go ahead but nashindwa kabisa...kila nikimpigia simu kumweleza tuachane nabadili topic, nikitaka kumtext najikuta nafuta sms sijui nimewekewa limbwata au ni nini kiufupi sijielewi nabaki naugulia kimoyo moyo tu na yeye habadiliki.

Nishaurini bandugu nifanyeje?? Najua nitapokea matusi dozen but ready for that atleast yatanipa the way forwad.

I can feel the pain n hurt you got frm that lady,
mwenyewe ni muathirika wa iyo hali, tena yako wew afadhali coz mim nlikua kwenye ndoa na unajua ndoa kuachika kirahic rahic sio mpango
nlivumilia dharau, kibri na jeuri za yule dada, huku kwao nao wakimpa kichwa
ikatokea day moja nkapata ujacr, baada yey kunjia juu kw maneno makali, nkamzaba makofi mengi sn alilia sana, badae nkampa na talaka, nkauguza machungu kw mwezi ivi,
saiv frsh nimefurahi moyoni, npo huru na kitu nnachojivunia na kujifurahia ni kumuacha
 
Duuh pole sana
 
Jambo wana JF!
Nimekuwa na huyu mwanamke karibia miaka miwili sasa, mwanzoni mapenzi yetu yalishamiri sana nilimpenda sana na hakuna shaka lolote kuwa nae alikua akinipenda sana.

Ameanza vituko hivi karibuni. Amekuwa ni mwingi wa usiri, busy sana na simu tukiwa pamoja na hizi dalili zinanionesha kuwa kashapata bwana mwingine ila kila nikimpa uhuru wa kunieleza ukweli kama hanipendi tena anakuwa mgumu.

Mimi binafsi natamani sana kumuacha niendelee na maisha yangu ila moyo umekua mzito kwa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke, nimekuwa nikiumizwa sana na vitendo vyake hivi. Mbaya zaidi hivi karibuni nimemkuta na love bite ila yeye anapinga akisema si love bite kwa kuwa ni sehem ndogo tu.

Najitahidi nimpe go ahead but nashindwa kabisa...kila nikimpigia simu kumweleza tuachane nabadili topic, nikitaka kumtext najikuta nafuta sms sijui nimewekewa limbwata au ni nini kiufupi sijielewi nabaki naugulia kimoyo moyo tu na yeye habadiliki.

Nishaurini bandugu nifanyeje?? Najua nitapokea matusi dozen but ready for that atleast yatanipa the way forwad.

Anakuweka pending huyo..kwakua huyo bwana mpya aliempata bado hana uhakika....anapima upepo akishaconfirm atakuacha get ready for that kama unasubiria kuachwa ndo uamke
 
Kuna wakati inabidi ufanye maamuzi magumu bila kufikiria maumivu yake.
 
kwani signature ya Matola inasemaje ?
 
Last edited by a moderator:
Mi nilikuwaga na kama huyo ila mi si kama wewe nina maamuzi rahisi na huwa siyajutii,napiga zangu safari nampigia simu ya kibuti nikiwa bar,usiku wote sipokei simu,akiwa ananipenda asubuhi nitakuta tu msg za kulia na kuomba kujirekebisha
 
Back
Top Bottom