Zeddicus
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 627
- 537
Jambo wana JF!
Nimekuwa na huyu mwanamke karibia miaka miwili sasa, mwanzoni mapenzi yetu yalishamiri sana nilimpenda sana na hakuna shaka lolote kuwa nae alikua akinipenda sana.
Ameanza vituko hivi karibuni. Amekuwa ni mwingi wa usiri, busy sana na simu tukiwa pamoja na hizi dalili zinanionesha kuwa kashapata bwana mwingine ila kila nikimpa uhuru wa kunieleza ukweli kama hanipendi tena anakuwa mgumu.
Mimi binafsi natamani sana kumuacha niendelee na maisha yangu ila moyo umekua mzito kwa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke, nimekuwa nikiumizwa sana na vitendo vyake hivi. Mbaya zaidi hivi karibuni nimemkuta na love bite ila yeye anapinga akisema si love bite kwa kuwa ni sehem ndogo tu.
Najitahidi nimpe go ahead but nashindwa kabisa...kila nikimpigia simu kumweleza tuachane nabadili topic, nikitaka kumtext najikuta nafuta sms sijui nimewekewa limbwata au ni nini kiufupi sijielewi nabaki naugulia kimoyo moyo tu na yeye habadiliki.
Nishaurini bandugu nifanyeje?? Najua nitapokea matusi dozen but ready for that atleast yatanipa the way forwad.