😂😂😂😂Diva karibu jamiiforum..!
😂😂😂😂😂😹😹😹 Umeanza diva kutuletea upimbi wako wa insta na huku..!!
Kwanza wewe una sura nyingi km agano la kale..!! 🤣
😂😂😂😂Aiseee 😄😄, sawa diva kwenye 1 and 2
Hatari sanaNliisikia hio nyimbo ya single mother sijui kaimba nani anasema yeye hana mpango na wanaume mpango wake ni kua na watoto tu kwa hio akitokea mwanaume wa kuzaa nae analishwa tu na akitokea mwingine anazalishwa tena yeye lengo ni kua na watoto tu na sio kuishi na mwanaume
Sema wewe mtu muhimu sana😂 inabidi nikufollow nisije nikavamia jiji, una vicoment flani huwa vinafikirishaHuu muandiko sio mgeni hapa Jijini JF. yaan uko Lele Leleee.
😂😂😂😂😂
Kasome Dira 2050Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
oky sawa, una roho?Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
Njoo nikupake mafuta umeremete utakua unavutia kama hao unatamani kuwa kama waoHivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa
Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee