How about u binti?Pole sana
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Walk away from abuseful relationship, kuna samaki wengi baharini, na sio wanaume wote wabaya, tupo wengine tunajuta kwa nini hutukuolewa mapema kwa mapenzi matam tunapewa na waume zetu.Wanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wewe bongo bahati mbayaWanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kujutia kuumbwa mwanaume,hata cc tunasema tungekua wanawake tungeonyesha mfano kwa wengne
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Kabla hujajua mwanaume anataka nini inabidi ujichunguze we mwenyewe pengine una uzembe unaufanya ... labda swala la usafi au unapenda sana kuomba hela au vinginevyo ..yan kwa kifup ukiona umeachwa jua asilimia kubwa tatizo liko kwako uliyeachwaWanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Usijali kila kitu kinakuja kwa Muda wake muhimu , mbona Sarah alipata mtoto akiwa mwenye miaka ya 80 .Wanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba n mwendo wa pachenga tuuSisi ni mwendo wa papuchi tu hakuna kingine mama,usemi wa sijui bucha imefanya nini,nyama ni ile ile hauna maana
Utafanyaje? utampendaje mpaka aje aandike kitabu?Na nini mkuu yaani iwish Mungu anifanyie mchakato japo miaka 2 demu wangu anaeza andika kitabu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Beyonce aliimba sahihi kweli wanaume wote mngelikuwa hivyo nafikir wanawake tunge enjoy sanaIf I were a boy- Beyonce
spend less, save more
Hakuna mtu anayekufa kabla ya siku zake,mtu anakufa siku yake ikifika,yaan ladypeace ukiwasikiliza sanaaa wanaume utakuja kufa kbla ya sk zako!weTIMIZA WAJIBU WAKO