Natamani ningeumbwa mwanaume

Natamani ningeumbwa mwanaume

Na sisi wanaume muda mwingine hatuwaelewi nyie KE mnataka nini...

Kuwa tu mpole umeumbwa mwanamke
Ni rahisi kufahamu kile mwanamke anataka ila si mwanamke kufahamu kile mwanaume anataka

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Duuu pole sana..sa sijui kama uko serious au ndo ki abunwasi zaidi....labda ungetamani kuwa mwanamke wa mfano mzuri kwanza halafu uone kama hujapata mwanaume wa kufanana na wewe...
Muombe sana Mungu aweze kukufungua kutoka katika hicho kifungo cha kukataliwa au kutopata mwanaume we hitaji lako...ila muhimu badili mwenendo wako kwanza...

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mi nimwanamke wa mfano sema nadhani wanaume wa mfano wote wako mbinguni hawa mliopo ni wa maigizo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Yachukulie mapenzi kama yanavyokuchukulia utaishi kwa raha.
Kuolewa au kuoa ni sheria.umri ni namba tu.ukiumizwa simama,usijali SONGA MBELE.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Umenena kama mhenga nimekukubari

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
upo serious?
Uanaume uwe na kifua na roho ngumu mama!!
Tatizo unabweteka na vijianaume ambao wamekufanya utaman kuwa mwanaume.

Uanaume sio mchezo
Ninacho kifua kaka ndo maana natamani

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
yaan ladypeace ukiwasikiliza sanaaa wanaume utakuja kufa kbla ya sk zako!weTIMIZA WAJIBU WAKO
Umeona kipenzi yaani hawa viumbe lol

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Jivunie kwa kile ulichojaliwa na Mwenyenzi Mungu. "Akili" uliyopewa ndio msingi wa maisha yako. Tumia "akili" yako kutambua wanaume ni watu wa aina gani. Ishi nao kwa "akili" uliyojaliwa.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kweli nimejifunza wanaume ukiishi nao kwa mapenzi inakula kwako bora niishi nao kwa akili

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna dem wangu aliwai nambia hii kitu,et anataman angekua mwanaume..et wao wana nuksi,mara mp kila mwez,mara kuzaa kwa uchungu,ma stereo type kibao,etc skumwelewa,leo ndo nme confirm kumbe wanawake wana wish wangekua male,sio mmoja wala wawil,..ila male tunawaonea sana,ingekua tunawaenz hawa dada zetu,nahis being female ingekua ni golden chance
 
Wanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

HALAFU UNGEPEWA KIBAMIA BADO UNGELALAMIKA HUMU NAFUU NINGEUMBWA MWANAMKE.....

RIDHIKA MAMA MAANA HATA HUNA PRESHA ZA JOGOO KUSHINDWA KUPANDA MTUNGI.
 
Ndo hivo mkuu natamani pasipo tamanika

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kuwa mwanaume haimaniishi utapata true love. Ni bahati tu hutokea
Anyway. Mshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Kweli nimejifunza wanaume ukiishi nao kwa mapenzi inakula kwako bora niishi nao kwa akili

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Siyo kweli
ni pm nikuambie kitu kizuri
 
Hebu kasikilize R Kelly anavyomjibu Beyonce katika remix ya "if I were a boy"
 
hata cc tunasema tungekua wanawake tungeonyesha mfano kwa wengne

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Aisee! Mimi binafsi sijawahi waza kuwa mwanamke hata mara moja...
 
mimi natamani kinyume cha post yako

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom