natamani ningekuwa na miaka 50+ ..........

kuwa na miaka hamsini sio solution.

Jiamini bidada.
unaogopa kutoswa na huyo Mmasai lakini huna uhakika kuhusu hilo.
Labda naye anaogopa kutoswa nawe. :A S embarassed: Jiulize na muongelee mambo hayo na huyo Mmsai .
 
@ausha,baba mngoni ,mama mchagga.......


......wa kwanza alikuwa mhaya, bishoo sana, very bright , home kwao nusu ulaya

Huyu alinisumbua sana, na alinipotezea sana kujiamini ilifikia wakati hata 1+1=2 naomba confirmation kutoka kwake
utoto +dharau zake zilinifanya NISHINDWANE NAYE.(Thanks God amejiingiza mwenyewe kwenye kula UNGA ni msomi anayefungiwa getini kwao asitoke maana ni nusu mwehu)

........wa pili and i used kujidangannya the last ni mmassai aliyekulia AR tokea utotoni.Huyu nilimpata kanisani, mwanakwaya, from low class family, working for TOUR OPERATORS, MCHA MUNGU ila naona kila dalili ya kutoswa as days go on.

Naumia sana.
Note:NATAMANI NINGEKUWA NINA 50 yrs old (bibi) UNGEKUTA SISUMBUKII chochote kuhusu mapenzi na dunia zaidi ya kukumbuka harakati za ujana nlizopitia.

nizae na mtu ni mtu.....au nifanyeje na nsipokuwa na mme rasmi itakuwa mateso maishani?ila huyu mmasai nampenda sana siwezi mwona akiwa na msichana mwingine blood vessels zitapasuka.

How old are you?
 
hivi kumbe ugonjwa wa mapenzi bado upo. nina miaka sijasikia mtu anumwa ugonjwa huu nikajua dawa ishapatikana. Pole sana Marytina. Maasai, okoa jahazi, kabla hatujamzika mtu.
 
Back
Top Bottom