Natamani nimtag!!

mmh huyu mtoa mada natamani ningemjua, mnaweza kuniunganisha naye?! asije akawa anamuongelea demu wangu aisee, maana anachokiongelea kama kinafanana fanana vile.
 
habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari.
Tuliachana baada ya kunisaliti na kumsamehe mara 3 ilipokuwa chuoni. Lakin kwa sasa tunamawasiliano vizuri lakin kama maraafiki wa kawaida na juzi tulikutana.
Kwasasa yeye ana mpenzi tena nimeona picha kwenye account yake ya facebook amekuwaengaged,
mara nyingi napenda kucomment kikawaida bila mtu kujua kuwa tulishawahi kuwa na mahusiano
kinaniuma zaidi kila ninapocomment huyo mchumba wake nae anakuja kucomment kunionyesha kuwa yeye ndiyo mmiliki wa huyo msichana
na zaidi pia kwenye account ya huyo jamaa ameweka picha za huyo binti (my ex gf) akijisifia kuwa mchumba wake hana skendo yoyote ile na anajiamini kuweka picha yake.
Hili linaniuma sana tena sana jamani natamani nimtag huyo jamaa picha ambazo ni mbaya nikiwa na huyo binti enzi za mahusiano yetu lakin sina ugomvi na binti naombeni mnishauri kwa hili tafadhari!! Nawasilisha

Naombea sana Jamaa ajue kuwa wewe ndo unaleta chokochoko kwenye mahusiano yao...na akudake akupe kisago safi ili ukome mchezo huo..Inauma sana....UKIFANYIWA WEWE UTAJISIKIAJE...... Mchezo Mchafu sana huo!!
 
Halafu itakusaidia nini?

What if, ukimtag halafu wakaendelea kuwa pamoja?
Hujawahi ona changudoa anaolewa? Au mjamzito anaolewa na mtu mwingine?

Tafuta wako, waachie na mapenzi yao. Kama kweli ulitendwa Mungu ndiye atakayekulipa!
 
picha za ex wako hadi leo unafanya nazo nini?

Acha utoto mkuu ukimtag utafaidika nini?
 
Wivu ndio una kusumbua hadi sasa! Kame usinge kuwa unamfatilia wala usinge sumbuka kuumizwa!

Naona maana ya kuachana bado haija kukaa kichwani! Kwa nini mwenzio asilingie kilicho chake? Nakushauri usiharibu mapenzi ya watu!
Ni vyema ukakubali kushindwa!
Inawezekana ulimfundisha kusex lakini haukumfundisha kupenda!

hahahaha thx
 
poa kaka yangu utampata akupendaye husiladhimishe upendo yatakushinda achana na huyo dada hana msimamo.:target:
 
habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari.
Tuliachana baada ya kunisaliti na kumsamehe mara 3 ilipokuwa chuoni. Lakin kwa sasa tunamawasiliano vizuri lakin kama maraafiki wa kawaida na juzi tulikutana.
Kwasasa yeye ana mpenzi tena nimeona picha kwenye account yake ya facebook amekuwaengaged,
mara nyingi napenda kucomment kikawaida bila mtu kujua kuwa tulishawahi kuwa na mahusiano
kinaniuma zaidi kila ninapocomment huyo mchumba wake nae anakuja kucomment kunionyesha kuwa yeye ndiyo mmiliki wa huyo msichana
na zaidi pia kwenye account ya huyo jamaa ameweka picha za huyo binti (my ex gf) akijisifia kuwa mchumba wake hana skendo yoyote ile na anajiamini kuweka picha yake.
Hili linaniuma sana tena sana jamani natamani nimtag huyo jamaa picha ambazo ni mbaya nikiwa na huyo binti enzi za mahusiano yetu lakin sina ugomvi na binti naombeni mnishauri kwa hili tafadhari!! Nawasilisha

Nashinda kuelewa nini kinakuuma, we umesema mmeachana sasa huyo fiance wake anachokisema kinakuumia nini???
we uliyenae unajua historia yake? kama kila ex wa mtu akitaka kupost si ndoa zitavunjika?????
ulikuwa na mda wako na yeye na huo mda umeisha tulia na wako ujenge ndoa/mahusiano yako ya watu hayakuhusu
.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Hiyo zlipendwa ni historia wewe chapa mwendo wakati wako ulikwisha isha, angalia maisha ya mbele, hakuna mwalimu wa mapenzi ni sawa sawa na mtu kusema mie ndio nilimfundisha flan kula chakula huu ni ulimbukeni ungekuwa mwalimu usingepigwa nje ya fence. Achana na mambo za FB na revenge hazisaidii tena.
 
kwani yupo peke yake au imekuuma kutenda kasikilize wimbo wa mwana fa halafu urudi ndo utoe uamuzi
 
Potezea bana lkn wanaume ndivyo walivyo wakiacha wanataka uhangaike watakudharau we taga hzo picha tu utajutia.
 
Acha wivu Kichumvi, ukizingatia wewe ni mwanaume, pengine hakuwa riziki yako, kumbuka kila jambo linakuja kwasababu, so endelea na maisha yako, fanya kazi kwa bidii achana na fb
 
Acha wivu Kichumvi, ukizingatia wewe ni mwanaume, pengine hakuwa riziki yako, kumbuka kila jambo linakuja kwasababu, so endelea na maisha yako, fanya kazi kwa bidii achana na fb[/QUOTE
nimekusoma
 
ukitaka kufa kabisa baada ya kutotosheka na maumivu ya roho we ka-post hizo picha!Jamaa anafahamu mahusiano yako na huyo demu ndo maana kila uki comment anakujibu!Ukipost picha atakumwagia kashfa na matusi!Una mambo mwaili ya kufanya 1. Mpotezee kabisa-hili ndo jambo muhimu na la msingi ambalo wengi wamekushauri, 2. Mtafute huyo demu uanze kumtafuna upya- Hii iatkujengea heshima na ujasiri wa kuanza kujibizana na msela!
 
Back
Top Bottom