Natamani nimtag!!

uwezi fundisha samaki ogelea wew...
Mara tatu kakufanya bado unasema,we ndo ulimfundisha..?
We unataka jamaa aseme demu wake malaya..?kila mtu lazima ajivunie alichonacho...
Acha ushamba kaka,ikiwa ww ulitendwa mara 3 itakuwa mchz ukiweka picha..?nae ataesabu ya kwanza..
Chukulia pouwa ndo ilivyo hyo..
ha!ha!ha! Pouwa
 
Ulivyotumia maneno "ex girlfriend" ulikukuwa unajua maana yake?
 
hapo kwenye red, ndio panaweza pakasababisha tatizo lako la kuumia moyo likawa endelevu, kama hautafanya maamuzi ya kumaanisha. Njia nzuri ni kukata nae mawasiliano, maana huyo dada akishagundua kua bado unampenda , atakutesa sana, utashindwa kuendelea na maisha yako, na hata kama itatokea mje kurudiana bado atakutesa maana kashajua weakness yako, ni kua unampenda sana na hata akikucheat utasamehe tu.
kurudiana nae sitoweza mkuu, kumsahau nimejaribu lakin yeye huwa ndio ananitafuta na kumwambia asinitafute nashindwa kubadili namba nashinndwa coz ndiyo namba ya biashara zangu
 
Mkuu, let the bygone be bygone, ulishatoka huko yanini kutafuta malumbano? Anza maisha upya kwasababu utake usitake lazima maisha yaendelee. Waache waendelee na mambo yao, wewe tafuta kwingine. In short elewa kuwa there are so many uncountable unexploited venues, yanini kubanana katika nafasi ambazo huna tena chako?
 
Hamna kukubali kushindwa!!!!!!!!!! Usimtag na acc yako ya sasa ila fungua mpaya alafu MTAG vitu hivooooo! Asitake kujishau mjini wakati mji una wenyewe!!!!!!!!! Ila MHURUMIE BINTI WA WATU, WANAUME WASHIDA KWELI SIKU HIZI!!!!!!!!!!! SUBIRI AKISHAOA NDO UMTAG!!!!!!!!!!!!!! Nail it where it hurts most!!!!
 
habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari.
Tuliachana baada ya kunisaliti na kumsamehe mara 3 ilipokuwa chuoni. Lakin kwa sasa tunamawasiliano vizuri lakin kama maraafiki wa kawaida na juzi tulikutana.
Kwasasa yeye ana mpenzi tena nimeona picha kwenye account yake ya facebook amekuwaengaged,
mara nyingi napenda kucomment kikawaida bila mtu kujua kuwa tulishawahi kuwa na mahusiano
kinaniuma zaidi kila ninapocomment huyo mchumba wake nae anakuja kucomment kunionyesha kuwa yeye ndiyo mmiliki wa huyo msichana
na zaidi pia kwenye account ya huyo jamaa ameweka picha za huyo binti (my ex gf) akijisifia kuwa mchumba wake hana skendo yoyote ile na anajiamini kuweka picha yake.
Hili linaniuma sana tena sana jamani natamani nimtag huyo jamaa picha ambazo ni mbaya nikiwa na huyo binti enzi za mahusiano yetu lakin sina ugomvi na binti naombeni mnishauri kwa hili tafadhari!! Nawasilisha

mh sana kichumvi,kwani skendo ni nini?kwamba ulikuwa na mahusiano naye kabla ya huyo jamaa ndio skendo?
 
habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari.
Tuliachana baada ya kunisaliti na kumsamehe mara 3 ilipokuwa chuoni. Lakin kwa sasa tunamawasiliano vizuri lakin kama maraafiki wa kawaida na juzi tulikutana.
Kwasasa yeye ana mpenzi tena nimeona picha kwenye account yake ya facebook amekuwaengaged,
mara nyingi napenda kucomment kikawaida bila mtu kujua kuwa tulishawahi kuwa na mahusiano
kinaniuma zaidi kila ninapocomment huyo mchumba wake nae anakuja kucomment kunionyesha kuwa yeye ndiyo mmiliki wa huyo msichana
na zaidi pia kwenye account ya huyo jamaa ameweka picha za huyo binti (my ex gf) akijisifia kuwa mchumba wake hana skendo yoyote ile na anajiamini kuweka picha yake.
Hili linaniuma sana tena sana jamani natamani nimtag huyo jamaa picha ambazo ni mbaya nikiwa na huyo binti enzi za mahusiano yetu lakin sina ugomvi na binti naombeni mnishauri kwa hili tafadhari!! Nawasilisha
acha ujinga mlishaachana sasa tatizo liko wapi nawe weka picha za demu wako
 
Unasumbuliwa na wivu tu huna hoja.
Ukifanya hivyo utathibitisha kuwa u limbukeni wa Mapenzi
Na haitakuasidia lolote

Bazazi Nimesema!
 
Wivu ndio una kusumbua hadi sasa! Kame usinge kuwa unamfatilia wala usinge sumbuka kuumizwa!

Naona maana ya kuachana bado haija kukaa kichwani! Kwa nini mwenzio asilingie kilicho chake? Nakushauri usiharibu mapenzi ya watu!
Ni vyema ukakubali kushindwa!
Inawezekana ulimfundisha kusex lakini haukumfundisha kupenda!
 
you need to grow up........

umtag ili iweje?

wivu wa kipumbavu huo......

ukishamuharibia unapata nini?

au unadhani ndo utakua nae?
 
Nikka let it go and move on....get urslef a hott chick to impair ur focus on other ppl's agenda....Word::unfriend her to ease ur nerve....if u keep toying with the cold war idea with nikka in controll...somedays....ur black azss eggo will spill off and u will publish the dirty photos....
 
Achana nae na kama unataka usiendelee kuumiza moyo wako, mfute kabisa kwenye friends list yako, yaani kwa ufupi kata mawasiliano nae japokua hamjagombana , ila fanya hili kwa ajili ya happiness yako na pia uweze kumove foward na maisha yako.

fanya kitu simpo.... M"BLOCK HUYO MWANA kushney hutoona mabalaa yake
 
Waache wapendanao wafurahie mahusiano yao. Ukimharibia mwenzio itakufaa nn? Jitahidini kutengeneza urafiki na si kuongeza maadui hata pasipo na sababu. Nakushauri usifuatilie hata hiyo fb page yake, kama yuko kwenye contacts zako, disable/delete kabisa. Hii itakupunguzia wivu.
 
.... the value of what you have is when you lost it!

kweli kabisa tena kwenye haya mambo ya gelo frendi na boi frendi ndiko kwenyewe but sometime in a certain circumstance no matter what we have to let it go.
 
Waache wapendanao wafurahie mahusiano yao. Ukimharibia mwenzio itakufaa nn? Jitahidini kutengeneza urafiki na si kuongeza maadui hata pasipo na sababu. Nakushauri usifuatilie hata hiyo fb page yake, kama yuko kwenye contacts zako, disable/delete kabisa. Hii itakupunguzia wivu.

mkuu hongera kwa ushauri wako mzuri,huwa nafuatilia sana comments zako then nakocompare na jina lako nachoka kabisa.wewe ni GT waukweli kabisa,much respect mkuu
 
Back
Top Bottom