KICHUMVI
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 113
- 14
habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari.
Tuliachana baada ya kunisaliti na kumsamehe mara 3 ilipokuwa chuoni. Lakin kwa sasa tunamawasiliano vizuri lakin kama maraafiki wa kawaida na juzi tulikutana.
Kwasasa yeye ana mpenzi tena nimeona picha kwenye account yake ya facebook amekuwaengaged,
mara nyingi napenda kucomment kikawaida bila mtu kujua kuwa tulishawahi kuwa na mahusiano
kinaniuma zaidi kila ninapocomment huyo mchumba wake nae anakuja kucomment kunionyesha kuwa yeye ndiyo mmiliki wa huyo msichana
na zaidi pia kwenye account ya huyo jamaa ameweka picha za huyo binti (my ex gf) akijisifia kuwa mchumba wake hana skendo yoyote ile na anajiamini kuweka picha yake.
Hili linaniuma sana tena sana jamani natamani nimtag huyo jamaa picha ambazo ni mbaya nikiwa na huyo binti enzi za mahusiano yetu lakin sina ugomvi na binti naombeni mnishauri kwa hili tafadhari!! Nawasilisha