Chakorii leo upo kisharishari sana🤣, huyu mpendwa si tunamjua jamani, au hutaki uzi uchangamke?😳😳😳Hadi wewe💔💔💔
Nikasema huyu anaweza kuniumiza,muda wa kupiga penalties ukifika wakishinda ufaransa namkalia mbali maana huu siyo ushangiliaji. 😅😅Yani wewe….nilikuona ulivyokuwa unaniombea mabaya Kwa Mbappe 😁😁
Nimechoka.Pambana mama
😭😭😭😭😭😭Mwache akufe dia waliaji tupo
I'm sorry madam🙏Wewe wanifahamu😀😀
Naheshimu privacy za watu sana na unalijua hilo.hapa nimemind.
Ikawaje??Mama…hebu fanya mambo Kwa kiasi na yasiwe mengi ndugu yangu ukaubadilisha huu uzi😳😳😳
Kutambua tu Kuna maumivu na kujua utaweza ku-control hisia dhidi ya any mapicha picha ni Bima tosha hiyooInapatikana wapi?
Hivi unahisi ushangiliaji wangu ulimpita yule mshangiliaji wa Argentina aliyetaka kuvunja tv ile ya pale juu🤣🤣Nikasema huyu anaweza kuniumiza,muda wa kupiga penalties ukifika wakishinda ufaransa namkalia mbali maana huu siyo ushangiliaji. 😅😅
Hahaha umesema ninachoandika kweli hujui basi??Mwache akufe dia waliaji tupo
Kungwi mwenzangu bhna…🤣🤣Kutambua tu Kuna maumivu na kujua utaweza ku-control hisia dhidi ya any mapicha picha ni Bima tosha hiyoo
Kungwi unani enjoy eeh😅😅?nakutegemea wewe kwenye hii sekta et.
Muite mwenyewe jirani![]()
Kumbe ujirani sio wa kusaidiana mambo mengine ni wa kuomba chumvi tuUkimpata shemeji chawa ,atakua anakutetea tu we mpiga bia kila ukikutana naeMawifi na mashemeji ni watu wabaya wala hujakosepambana wifi