Natamani na kutafuta nyumba ndogo beatful, smart na yenye mvuto

Karryma

Member
Jan 31, 2012
11
0
Wakuu natafuta nyumba ndogo, yenye mvuto
Sifa:
1. Iwe tayari kutunza siri SANA SANA
2. Iwe tayari kuhamwa ikipata mpangaji wa kudumu, mimi nitakuwa tayari kuhama kwa hiari
3. Iwe na mapenzi motomoto

Mengine tutaongea tukikutana. Ila mimi niko above 40, married with a daughter and a son. Unajua inapopatikana ni PM basi. THANKS
 
Subiri wanakuja, watakujibu
 
Mke wako hana hayo yote?

Na wewe je una mvuto??!Ni smart?Ni handsome?
Una mapenzi motomoto? Kama unayo mkeo hayahitaji?
 
Lizzy nimeshindwa kuyasema hayo maana mtu unajinadi una watoto hapo ina maana una mke
Je unachotafuta kwa hiyo nyumba ndogo ambacho mkeo hana ni nini
Ushafikiria mkeo na watoto au watoto wao maisha yao ya baadae in case of anything kwa hiyo nyumba ndogo
 
Na wewe uko tayari kuwa nyumba ndogo?..are you smart?(upstairs,sideways etc)..are you handsome?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom