Natamani mtu mmoja ajiuzulu

Natamani mtu mmoja ajiuzulu

Maisha hayataki watu wanaokimbia eneo la mapambano, ukishafika kwenye battlefield kubali kufia uwanjani.
 
Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone.
Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
Naomba nimwombe Hpp atubwagie jina lenyewe hapa.Muishimiwa hapa lipo ombi la mdau nami nalirusha kwako rasmi.Fanya kama unajikuna popote ulipo tukuone tafadhali!
 
Naomba nimwombe Hpp atubwagie jina lenyewe hapa.Muishimiwa hapa lipo ombi la mdau nami nalirusha kwako rasmi.Fanya kama unajikuna popote ulipo tukuone tafadhali!
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata hawara ya Binti Yako au mkeo anatamani wewe kujiuzulu au mkweo ajiuzulu,Ili ashike usukani kusugua papuchi zao
Ndugu anthropology hiyo ni historia ya miaka mln ngapi kabla ya uwepo wako na kizazi chako?
 
Back
Top Bottom