Natamani mtoto, nisaidieni

Natamani mtoto, nisaidieni

Hapo mutant inamaana kubwa tuu, inawezekana huyo jamaa kwa kuwa ajakuoa, hivyo huna imani nae, Kwahiyo umekuwa ukitumia njia mbalimbali kuzuia usipate mimba, hivyo yawezekana hizo njia zishakusababishia athari, ebu kwanza mwambie akuoe ili uwe huru, jiachie, baadae kitanasa tu.

mkuu heshima ni kitu cha bure wala haina gharama. so, please tuheshimiane mkuu. kwenu wanaume wanaolewa na kuzaa??
 
Samahani mutant, nadhani hukunielewa, mi nimeku quote kwa maana ya kufafanua zaidi kile ulichoandika, nikiwa nimemlenga mleta mada ili aelewe vyema ulichoandika, samahani sana, sikukulenga wewe mkuu, nakuheshimu sana mkuu.
 
nimekupata mkuu. Amani itawale.
 
Cycle yangu ni 28 . ni zipi fertility drugs? And yes kuna pacha kwenye familia yetu

Fertility drugs wanatumia wanawake wenye matatizo ya kupata mimba....
Hivo ujikuta wakipevusha mayai mawili au zaidi kutoka kwenye tezi kuu ya kutengeneza mayai...

Kama katika familia au ukoo kuna pacha basi uwezekano upo lkn mapacha sio kitu cha kushadadia maana mapacha wana matatizo mengi kibindi cha mimba na wakati wa kuzaa...

Mfano mapacha wanaweza kupelekea upate Pregnancy induced hypertension ambayo inaweza kukupeleka mpaka ukapata kifafa cha mimba...
Pia,mapacha wenyewe wakiwa tumboni mmoja anaweza kumnyonya damu mwingine...hivo alonyonywa damu kufa na yule akienyonya nyingi ikimzidia inaweza kumuua hivo ukajikuta unazaa watoto walokufa....
Kitu kingine ni kwamba inaweza kukuchosha kuzaa watoto wawili na mwisho ukakuta unafanyiwa upasuaji,sidhani kama kuna mtu anapenda kuzaa kwa mshono au operesheni....

Hivo omba kuzaa mapacha iwapo Afya yako hailegi legi vinginevyo si kitu kizuri kinaweza kukuletea matatizo au kukuletea matatizo watoto....

All in all mapacha wanapendeza Mungu akikupa ukajifungua salama kwa kweli wanapendeza na kila mtu anawapenda
 
Asante sana mkuu.
Hizo fertility drugs ni zipi? Zinaitwaje na zinapatikana wapi
 
Wewe Mpole mimi chukua huu ushauri ni hakika kwa asilimia 100 na ni rahisi ku count. Ongeza na hili....Mbegu za mwanaume zinaweza kukaa kwa saa 72 zikiwa hai kwa hiyo unaweza fanya tendo la ndoa siku ya 10 au 11 na ukapata ujauzito kwani zitakutana na yai katika siku ya 13 au 14.

Kwa kuongezea ni kwamba hapo anapatikana mtoto wa kike.

Kama tendo litafanyika siku ya 14 yai likiwa tayari lipo basi anakuwa wa kiume sababu mbegu ya kiume inayosababisha mtoto wa kiume ina safiri kwa speed kubwa kuliko inayo sababisha mtoto wa kike. Na inayo sababisha mtoto wa kike inaishi muda mrefu kuliko ile inayo sababisha wa kiume.

Kila la kheri,ila mtoto nje ya ndoa ni swala la kufikiria Mara mbili.
 
Last edited by a moderator:

Hilo swala la kuamua kupata wa kike au kiume researchers wa TZ wamesa hakitabiliki na sio rule it may just occur by chance but in most cases it will not occur...just take it from me au ukioa au ukaitaji mtoto ijaribu utajua ukweli uko wapi
 
Mkuu kama tendo litafanyika siku ambayo yai lipo tayari hiyo bila ubishi anakuwa mtoto wa kiume

Hilo swala la chances linakuja kwasababu ni ngumu kujua kama yai lipo tayari.
 
Ushapata au bado ingia inbox yangu
Habari, Nina imani kila mwanamke anapenda kuitwa mama na mwanaume anapenda kuitwa baba kwakuwa ni jambo la kheri nina imani pia sijakosea kulileta hapa.
Jf ni mjumuiko wa watu wengi na wenye elimu na uelewa tofauti...Mimi ni mwanamke..na sasa nataman kuitwa mama..sina mtoto wala sijashika mimba bado.ila mungu akijalia ningependa iwe mwezi Huu.

Msaada hapa!
Ninaenda siku zangu siku tatu ya nne ni vitone vidogo tu...mfano kama nimeanza tarehe 05.01 namaliza tarehe 07.01...
Ni vipi hapo nitaweza kuhesabu siku zangu vizuri nikadaka mimba siku ya hatari? Na ni ipi iyo siku ya hatari?

Na pia kwa wenye ufahamu zaid juu ya watoto pacha.. Napenda na natamani sana kujaliwa hao.
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom