Natamani Mbunge wangu akubalike kama Nassary

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Wabunge asilimia 90% hawajafanya chochote kwenye majimbo yao akiwemo Ndugai lakini wananchi na Raia Wala hawalalamiki hasa najiuliza Watanzania kwanini wanamshobokea Nassary? Jibu ninalopata ni kwamba huyu mtu ni potential kwa Taifa letu na natabiri one day atakuwa kiongozi mkubwa wa Taifa letu.

Katika umri wake na kipindi chake Meru amefanya mengi na ambayo wengi hawakuyatarajia, amepeleka Maji, ameibua ishu ya ardhi na kufanya utatuzi wa migogoro ambayo CCM wakiongozwa na mkapa walikuwa wanakataa mashamba hayo yasitoke kwa walanguzi.

Amesambaza Maji maeneo ambayo hayakuwa na Maji, ametangaza meru Duniani kote ikiwa ni pamoja na kuimarisha huduma za afya....Leo hii meru imekuwa kimbilio la makabila yote na kila mtu anataka kuwaongoza wameru.

Ni Mbunge mahiri toka bungeni na nje ya BUNGE, ni mtu mcha Mungu anayejali Haki, aliweza kuwaumbua DC na genge lake Juu ya rushwa na hivyo kuvitetemesha vyombo vya dola. Kiumbe wa Aina hii lazima atafutiwe visa aondolewe ili wapigaji waendelee kula .....

Ukiona wazee wa mila wanaacha njia na kukimbizwa jua huyu mtu ni kichwa, ukiona mkuu was majeshi ameingia kuliteka Jimbo tambua aliyepo ni mtu mkubwa na hatari kwa chama tawala.

Mzee Sarakikya hajaingia kwenye game hii kimakosa Bali amelazimishwa kujiingiza kuakikisha kwamba Arumeru inaondoka upinzani na kwa miaka yote nadhani amejutia alichokifanya ambacho Ni kushiriki kuiangamiza mila na desturi yake.

Nassary nje ya Chadema au ndani ya Chadema ni kiongozi mzuri na mahiri ambaye watu hasa vijana wanampiga mawe kwa sababu TU ya mafanikio yake.

Nampongeza kijana Kama huyu na natamani ningekuwa na Mbunge Kama yeye. Waliondoka wengi Chadema hawakuvuma Kama Nassary kwa sababu hawakuwa na madhara kwa Taifa letu.

Mwisho nimtake TU Nassary kusimama imara na Bora akawe lecture ulaya kuliko kuwa mtumwa wa siasa za Tanzania zisizozingatia haki....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nassari sio wa kutetewa katika hili.
 
Niliwahi kuota Nasari amekuwa rais wa kwanza kutoka upinzani nchini Tanzania.

Umeandika vizuri, ila hapo mwishoni umeandika kosa ambalo vijana wengi naona wamekua wakilifanya. Sijui kuna kosa gani kizazi cha sasa kwenye kuelewa mambo. "Lecture" ilifaa uandike Lecturer. Utasikia kijana wa A level anasema anasoma Advance..... A level ni Advanced level, siyo Advance level..... Tuongeze umakini. Mbali na hilo, habari yako iko vizuri na naiunga mkono 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge asilimia 90% hawajafanya chochote kwenye majimbo yao akiwemo Ndugai lakini wananchi na Raia Wala hawalalamiki hasa najiuliza Watanzania kwanini wanamshobokea Nassary? Jibu ninalopata ni kwamba huyu mtu ni potential kwa Taifa letu na natabiri one day atakuwa kiongozi mkubwa wa Taifa letu.

Katika umri wake na kipindi chake Meru amefanya mengi na ambayo wengi hawakuyatarajia, amepeleka Maji, ameibua ishu ya ardhi na kufanya utatuzi wa migogoro ambayo CCM wakiongozwa na mkapa walikuwa wanakataa mashamba hayo yasitoke kwa walanguzi.

Amesambaza Maji maeneo ambayo hayakuwa na Maji, ametangaza meru Duniani kote ikiwa ni pamoja na kuimarisha huduma za afya....Leo hii meru imekuwa kimbilio la makabila yote na kila mtu anataka kuwaongoza wameru.

Ni Mbunge mahiri toka bungeni na nje ya BUNGE, ni mtu mcha Mungu anayejali Haki, aliweza kuwaumbua DC na genge lake Juu ya rushwa na hivyo kuvitetemesha vyombo vya dola. Kiumbe wa Aina hii lazima atafutiwe visa aondolewe ili wapigaji waendelee kula .....

Ukiona wazee wa mila wanaacha njia na kukimbizwa jua huyu mtu ni kichwa, ukiona mkuu was majeshi ameingia kuliteka Jimbo tambua aliyepo ni mtu mkubwa na hatari kwa chama tawala.

Mzee Sarakikya hajaingia kwenye game hii kimakosa Bali amelazimishwa kujiingiza kuakikisha kwamba Arumeru inaondoka upinzani na kwa miaka yote nadhani amejutia alichokifanya ambacho Ni kushiriki kuiangamiza mila na desturi yake.

Nassary nje ya Chadema au ndani ya Chadema ni kiongozi mzuri na mahiri ambaye watu hasa vijana wanampiga mawe kwa sababu TU ya mafanikio yake.

Nampongeza kijana Kama huyu na natamani ningekuwa na Mbunge Kama yeye. Waliondoka wengi Chadema hawakuvuma Kama Nassary kwa sababu hawakuwa na madhara kwa Taifa letu.

Mwisho nimtake TU Nassary kusimama imara na Bora akawe lecture ulaya kuliko kuwa mtumwa wa siasa za Tanzania zisizozingatia haki....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nassary nje ya Chadema au ndani ya Chadema ni kiongozi mzuri na mahiri ambaye watu hasa vijana wanampiga mawe kwa sababu TU ya mafanikio yake[B/]

Tunamsubiri Nassari nje ya Chadema.
Tetesi hizi ni za siku nyingi kabla hata hajabeba flash ya video za madiwani.
Lisemwalo lipo...kama halipo laja.
 
Hivi ile flash ilibeba videos za kweli au ilikua ni uzushi, maana ilikataliwa na PCCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom