Elections 2010 Natamani makomabati ya CHADEMA

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
1,167
Wadau mimi natamani makombati ya CHADEMA hasa wakati huu wa mapambano. Je, wanaweza shona na kuniuzia? Wana-CHADEMA tafadhalini shoneni mengi watu tutinge vitani...kumbuka yanaamsha morali ya kutafuta ushindi.
 
Hivi kwanza asili yake nini zile combat? Kuna mwenye kujua historia yake?
 
Hata mimi ningependa kujua.. kwamba tuko vitani au? wafanye promo zaidi na wawatumie wasanii kama kina sugu n.k
Ni vita hukumsikia JK jana alivyosema kuwa uchaguzi ni vita kama vita vingine, kwa Chadema ni vita ya ukombozi.
 
Wadau mimi natamani makombati ya CHADEMA hasa wakati huu wa mapambano. Je, wanaweza shona na kuniuzia? Wana-CHADEMA tafadhalini shoneni mengi watu tutinge vitani...kumbuka yanaamsha morali ya kutafuta ushindi.

Mkuu hata mi nayatamani, tena hiyo ingekuwa njia mojawapo ya kutunisha mfuko wa chama, wanalishona kama gharama ni elfu 20 kwa mfano, wanaomba mwananchama anaye taka nunua alichukue kwa 25 elf ama 30 elfu, ziada ukiwa ni mchango kwa chama!
 
Hata mimi nayatamani waambie watushonee tuyanunue ikiwa ni njia mojawapo ya kuchangia ushindi wa oktoba
 
Njoo Makao Makuu utapata...
Nakupenda sana Regia, wewe ni mwanamke wa shoka bila shaka utashinda tu. Vipi usimamizi wa kura zisiliwe? tuje tukusaidie?. Nipe njia rahisi ya kupata gwanda na bei yake. ni flat rate au inategemea size?
 
Asante Selous.Ni kweli kabisa mimi ni mwanamke wa shoka hilo halina ubishi,ha ha ha!nahitaji watu makini wa kusimamia kura,nitafurahi kama mtakuwa tayari kunisaidia.

Kombati zinatofautiana bei,kulingana na viwango vya aina na dizaini ya kombati utakayoitaka.Siwezi kuzitaja hapa bei zake Malaria Sugu asije akaanzisha sredi hapa bure..NitakuPM ili nikupe namba za simu za jamaa wanaohusika na kombati..
 
Nimefurahi umejitokeza rasmi......tuko pamoja kumtoa Ligalama & co ili tupate lami na daraja pale mtoni

Mkuu naona uko nyuma.Ligalama hayumo hata kwenye top five.Aliyeshinda ni Pedeshee Abdu Mteketa akifuatiwa na Prof Choma,wanataka kubadilisha matokeo ili wampe huyo Prof nasikia kuna vurugu mechi inaendelea huko.Mi nimebaki mshangiliaji kwa maamuzi yeyote watakayoyafanya..
 
Asante RM kwa update....kha Mteketa tena?yule wa kuuzia mawe ya Kunduchi wazungu kuwa ni copper ore ya Congo!!!salale....ila safi wakikusimamisha nae unamng'oa kama mchicha vile.....
 
Wadau mimi natamani makombati ya CHADEMA hasa wakati huu wa mapambano. Je, wanaweza shona na kuniuzia? Wana-CHADEMA tafadhalini shoneni mengi watu tutinge vitani...kumbuka yanaamsha morali ya kutafuta ushindi.
Makombati ya CCM ni rahisi kuyapata kwani mgambo wa jiji wanawakilisha,natumai kwa wale wakazi wa Dar mnaweza kwenda pale makao makuu ya Chadema na mtayapata au kupata data kamili namna ya kuyapata.
ANGALIZO:MSIJESIKIA YAMEPIGWA MARUFUKU KUWA YANAFANANA NA SARE ZA WENYE MAMLAKA
 
Weweeee ...........TIDO Mhando huna maaana na TBC yako...Usituletee umwagaji damu kama Kenya.....TANGAZA HABARI za cha CHADEMA...KUDADADEKI weeeeeeeeee.............
 
Back
Top Bottom