Natamani Maisha kama haya Chuoni.

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
-Napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-Atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-Atakayekuwa hababaishwi na washkaji wenye pesa na masharobaro.
-Atakayekuwa akitilia mkazo jambo zima la kupiga msuli na kuepuka supplimentary na ku-discontinue
-atakayekuwa yupo Tayari muda wowote nitakapo mhitaji.
-The one who values the Privilege of Education that she got among thousands to whom in one way or another failed to make it.
-The one who will be ready anytime to remind me to get back on my normal life whenever i start to go the wrong way of living...i guess ukimpata demu kama huyu atakuwa catalyst yako nzuri ya Maisha ya kimasomo chuoni.
So watchout my fellow first years...one mistake in life can make your life miserable!
 
Huu ujumbe wako ni mzuri na wenye manufaa, haswaa kwa mwaka wa kwanza wenzio ambao ndio mnajiandaa kuanza chuo.

Ila tatizo ni kwamba huku ulipoleta au kuwasilisha huu ujumbe wako, sio mahala sahihi hata kama ni jukwaa la MMU.

Fanya tafiti kwenye nyuzi kama kumi, halafu angalia wachangiaji utagundua wengi ni watu wenye uzoefu wa mapenzi kwa namna moja hama nyingine.

Sasa ili lengo lako litimie kwa ujumbe wako huu, fanya uupeleke jukwaa la elimu, kwani dhamira kubwa ya ujumbe wako imeelemea kwenye "mahusiano ya kimapenzi chuoni".
 
ilikua kwenye elimu na kule si mahala pake kiongozi, imeletwa na mods huku
 
Yaani wewe emeenda chuoni kutafuta mchuchu?
Na usipompata wa hivyo si utakula jeuri yako? Angalia usije ukadisco kichwa chini miguu juu.
 
-Napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-Atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-Atakayekuwa hababaishwi na washkaji wenye pesa na masharobaro.
-Atakayekuwa akitilia mkazo jambo zima la kupiga msuli na kuepuka supplimentary na ku-discontinue
-atakayekuwa yupo Tayari muda wowote nitakapo mhitaji.
-The one who values the Privilege of Education that she got among thousands to whom in one way or another failed to make it.
-The one who will be ready anytime to remind me to get back on my normal life whenever i start to go the wrong way of living...i guess ukimpata demu kama huyu atakuwa catalyst yako nzuri ya Maisha ya kimasomo chuoni.
So watchout my fellow first years...one mistake in life can make your life miserable!
Endelea kusubiri bado hajazaliwa.
 
kijana naona ubase kwenye mapenzi badala ya kutamani maisha ya kufaulu ili malengo yako yatimie
USHAURI WA BURE
chuoni hakuna real love tena vigezo vyako vyote not aplicable we piga shule bora uwe na kazi za nje
 
Nakuona umeshadisco kabla ya kuingia chuoni. Hujui nini kinakupeleka chuo? Labda uenede vyuo uchuro wanavyogawa digrii kuvutia biashara la sivyo ukija chuo kikuu (Udsm, sua) lazima tule kichwa!
 
Hapa kweli NILIKURUPUKA nagundua hili sasa hivi hizi bangi za kuvutia chooni bwana!
 
Back
Top Bottom