Mi mwanaume wewe, yaani msela wangu umenisahau?
Afu wewe bwana, uliona wapi ***** amezaa. Mi nimetamani kuzaa, labda ungeniuliza kama nimekuwa mwanamke.
Mkuu embu niambie kwa nini unatamani kuzaa wakati wewe ni mwanaume?
anatamani kuoga maji ya moto.
hii njemba sijui inamaanisha nini duuu....
Kwa hiyo akizaa ndio ataoga maji ya moto?
Ndio manake mzazi haogi maji ya baridi lolest!
Kinachonishangaza kwa nini atamani kuzaa wakati yeye ni mwanaume?
Anatamani awe mzazi ili na yeye aoge maji moto , anywe supu nk....lol