- Thread starter
- #41
Unahitaji mpenzi kwa ajili ya nn? Sio tamaa ya ngono kweli ndio inakusukuma?
Si kweli ingekuwa hivyo ningefanya zamani sana,sina tamaa hiyo
Unahitaji mpenzi kwa ajili ya nn? Sio tamaa ya ngono kweli ndio inakusukuma?
hongera kwa msimamo wako kijana.ila hujajibu swal wa malengo au wa kudo nae?
Unatafuta mtu wa kukusifia??? au unatafuta mpenzi wa kungonoka naye?? tiririka kijana. JF ni kila kitu utapata kile unachohitaji.
Hongera kwa jitahida za kupata elimu, kila la kheri kwa hayo unayoyafikiria kwa sasa!
ndugu pole sana, ila ukae ukijua kuwa wewe SIO MSHAMBA kama unavyofikiria na wala sio kwamba huna bahati wala nini. Nilichokiona kwako ni ujasiri ambao vijana wengi wa rika lako hawana, ni la kuamua kuhangaika na shule na kuachana na mambo ya wadada. Hongera sana! Ninachokushauri ni kukomaa na shule, jenga maisha yako kwanza, hayo mambo ya mapenzi yatakuja automatically ,na wala usiwe desperate kutafuta mpenzi maana unaweza kukwaa maradhi ndugu kwa kuwa ulishajitunza muda wote huo uje kuharibu sasa? NO! Muombe M/Mungu akujaalie mke mwema, na kwa sasa akujaalie ufanikiwe katika masomo yako na malengo yako yote yatatimia Inshaallah!
Imesalia miaka kadhaa hivi niwe na miaka thelathini,lkn sijui ni ushamba au ni matatizo yaliyo kithiri kiasi cha kushindwa kuwa na histori ya kuwa mpenzi hadi sasa,lakini kwa sasa nina hamu kubwa ya kuwa na mpenz. Kimsingi nimekulia mtaani kama chokoraa lakini nikawa na mtazamo tofauti na na watoto wengine wanao kulia mtaani fikra zangu zote ni kwamba niwe msomi hivyo nguvu na akili yangu yote ilikuwa nikutafuta namna ya kupata elimu rasmi, nimefanikiwa kuhusu hilo nimemaliza 4m 6 mwaka huu na nimefaulu natafuta mtu jinsia ke' wakuni sifia ninapofanya vizuri na kunitia moyo pale changamoto zinapo kua nyingi 'SINA NDUGU RASMI' ukihis tunaweza kusonga na haya maisha niujuze kwa namba hii
DU matangazo ya namna hii yamekuwa mengi mno humu ndani , nakushauri uyapeleke makanisani au misikitini ikibidi hata vituo vya mabasi.
heee hee heeeeeeeeeeee.
sante!