Natamani kuwa Mzanzibar!

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
  • Ukiwa Mzanzibar unapata umeme bila mgao,
  • Ukiwa Mzanzibar unaweza kumiliki shamba Micheweni (Zanzibar) na jingine ukamiliki Dakawa (Morogoro),
  • Ukiwa Mzanzibar unaweza kupiga kura kumchagua Diwani na Mbunge Tandika (Temeke) au Mji Mkongwe (Zanzibar),
  • Ukiwa Mzanzibar unaweza kuishi Sengerema (Mwanza) bila kubaguliwa kutokana na dini yako au kabila lako au ukaamua kuishi Bujibuji (Zanzibar),
  • Ukiwa Mzanzibar unaweza kuwa Diwani wa Katoro (Geita) au diwani wa Micheweni (Zanzibar).... kwa raha zako
 
Ukiwa Mzanzibari pia unaweza kuwa raisi wa tanganyika bila wasi wasi mfano DR mwinyi alikuwa mbunge mkuranga sasa mbunge kwahani watu wewe znz raha kweli wazanzibari ndio vichwa vya tanganyika.
 
Ukiwa mzanzibar waweza kuwa waziri kiongozi zenji na badae wa mambo ya ndani tz bara
 
Back
Top Bottom