Natamani kuvuta bange!

Siku zote mwinue Mungu kwa kusema maneno haya:-
Ee Mungu wangu inua moyo wangu ili nikutumikie wewe;
Katika furaha nikuone wewe;
Katika shida na majaribu uwe mwamba wangu;
Katika kukata tamaa uwe tumaini langu;
Katika kazi zangu uwe mwalimu na msimamizi wangu;
Katika hitaji la moyo wangu uwe jibu langu; AMINA.


Nina uhakika hutakuwa na misukosuko tena moyoni mwako. Mungu akutangulie.
 
Nikitoa now itakuwa copy and paste lol..
sema unataka unga ukipata listi ya wa kwako wa unga tunaunganisha na hawa wangu wa bange tunatoa report!
 

hebu angalia macho ya huyu mshkaji baada ya kukolea bangi

culture-addis ababa - YouTube
 

Tafuta mume uolewe achana na bange
 
When was this posted...!??
Smile ushapata bangi? Kama bado mimi najimwaga hapahapa (since hutaki PM)...lunch date ya bangi jumatano...pale polisi sentro..kuna maafande huwa navutaga nao! Tafadhali usichelewe ni saa sita hadi nane wakati wanabadilishana zamu.

Tafadhali fika na hela kibiriti! (NB: bangi haiwashwi na lighter)

NB 2: Usije umevaa gauni/sketi

NB 3: njoo na maji ya kutosha kama unatarajia kurudi kazini zea after.

NB 4: ndo natoka kupiga pafu mwenzio....<nakudorishia>...

I hope nimeandika vitu vya kueleweka..mana bangi bana.

NB 2: hakikisha umekula (sio chips) kabla hujaja.

NB 1: ukifika muulizie afande Mahewa ukiambiwa wa nini sema umemletea mzigo wake.

Alamsikh....
 
Last edited by a moderator:
Vuta, ila kama kichwa chako kibovu piga tizi la nguvu utarelax...
 
mimi siwezi kuvuta bange bwana nilikuwa nawatania tu
najipenda kuliko chochote

Hahahaha Smile mie nilikuwa nasikilizia tu mwisho wake teh teh teh ...............................................:kev:
 
nipo ok kaka ..nayaweza mabo yote katika yeye anitiae nguvu...Jehova
 
Hahahaha Smile mie nilikuwa nasikilizia tu mwisho wake teh teh teh ...............................................:kev:
ila kuna wavuta bange humu balaaa daah acha kabisa
 
ila kuna wavuta bange humu balaaa daah acha kabisa

Umejionea mwenyewe hahahaaaa ndo fashion siku hizi ......stimu za kuranduka hahahaa.......................!:heh::heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…