Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
- Thread starter
-
- #21
mie jinsia yake.nitaijualia wapi? Kwani bado anaoga mtoni? Mito yenyewe imekauka na iko contaminated na faecal coliform kama chawa.
mie jinsia yake.nitaijualia wapi? Kwani bado anaoga mtoni? Mito yenyewe imekauka na iko contaminated na faecal coliform kama chawa.
He!He!He!
Kumbe hadi Mzee Mwanakijiji anaporomosha matusi akizidiwa na stress!!!
Alipewa ban??
Sasa King'asti,hebu kuja huku kwa PM tuongee vizuri!!
Hah hah hah hah! Leo umeingia lindo mapema!?
Sasa wewe mtakatifu,nisaidie basi niondoe stress kupitia wewe.
Kaka tatizo wewe unalala mapema kaka,jaribu kukesha nami nikuonyeshe michongo ya usiku,hutapatwa na stress kamwe,,,
watu wengine nini? Kwanza unanijua mimi ni nani humu jf?
tayari nimeshaweka oda ya room pamoja na Chakula kwa ajili yetu wawili.
Shahidi: Preta, Lily Flower, Arushaone.
Wakuu,nina bonge la stress,na miongoni mwa njia kuu za kumaliza stress ni kutukana.
Natamani sana kutukana,hivyo yeyote atakaye changia hii thread namporomoshea matusi.