Natamani Kupima HIV Naogopa

Natamani Kupima HIV Naogopa

Hivi Jinsia yako ni ipi... kama kike..hata ukiogopa aisaidii kwani siku hizi ukipata ujauzito wanakupima kwa lazima..ni PMTCT requirements hapa bongo..

All in all, soma maoni ya wengi..faida za kupima ni nyingi kuliko kuogopa kwako..kupima si issue ..kusubiri na kupokea majibu ndio yataka moyo..ukiona huna uvumilivu wa moyo ..nenda na konyagi au vodka..(hahahah Joke!)
 
njia rahisi ya kujishawishi kwenda kupima ni wewe kujiambia mwenyewe kuwa tayari unao,nenda ukiamini tayari unao,pima ukijua tayari unao,ona hali ya kuwa nao ni kawaida tu,tena ukiweza tamani ukutwe unao kisha nenda kapime,ukikutwa nao wala usimaindi kwa vile hata usingepima haimanishi ingekuwa kinyume sanasana ni hatari zaidi kutoijua hali yako halisi hivyo pokea na songa mbele kama maelfu kwa maelfu wanavyosonga mbele.ukimaliza kusoma post hii nenda kapime usigeuke nyuma utageuka kuwa jiwe la chumvi
 
kapime bro usiogope mbona inawezekana tu ukawa nao na ukaishi muda mrefu kwanza ck hiz ngoma wala sio ishu kama mwanzo
 
asikudanganye mtu ukiambiwa wewe ni positive ,utaanza kujinyanyapaa mwenyewe usiombe ndugu utajuta kupima yaani
 
Back
Top Bottom