Natamani Kupima HIV Naogopa

Natamani Kupima HIV Naogopa

mh! am gonna try it

Don't try. Just do it. Face it like a man. Stop chickening out.
Kwani hiyo afya umemshikia mtu mkuu? Si ni yako.
Enewei, ukiona nakuwa mtata potezea mwaya. Endelea kuogopa wala usiende kupima mkuu.
 
hahahahahahahaha nenda tu kapime best yangu kwani ni bora kujijua mapema kabla ugonjwa haujakuumbua.mi na uhakika uko fiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiti
 
watu wanaogopa kupima ukimwi kwa sababu wanajua ukimwi=death.ambapo tunakosea sana.ukichukulia ukimwi kama malaria yani ukikutwa nao unaanza dose na maisha yanasonga kusingekuwa na huo woga,
 
nitatafuta mtu humu anisingikize, zeni anipokelee majibu na kunitumia kwa mail
 
Jitoe mhanga ndugu meza moto kweli!ni moja ya maamuzi magumu sana ikiwa hujawahi kabisa lakini ndio msingi bora wa maisha endelevu!aise nikikumbuka ile siku ya kwanza sitaki itokee tena!
 
Kwanza lazima ujue kwamba UKIMWI upo kwa ajili ya binadamu,,,
usipo upata wewe nani aupate,,?
Je walioupata wanazambi gani,,?

Pili utakapo gundulika una vvu usiogope kwani unaweza kukaa kwa mda wa miaka mitano mpaka kumi huku ukiwa fiti bila ya dozi ya Arvs,,
na dozi ya arvs ni zaidi ya miaka 20 unaweza kuishi

Ukikutwa hauna jitunze ka mboni ya jicho lako,,,,
 
kama ni negative ni negative tu, na kama ni positive ni positive tu, kapime.
 
kesho naingia kituoni kupima nimejitoa mhanga kama msomari
 
Hivi kwa nini unaogopa kupima? mi hata bila ushauri nasaha napima tu.
 
habari wana Jf natumaini mu wazima wa afya,
Naleta Thread yangu kwenu niweze kupata ushauri. ila ctapenda maneno ya karaha .
Natamani kupima afya yangu ila naogopa majibu, najua wengi mmepima. nahitaji faraja zitakazonisukuma niweze kutimiza ndoto hii.

mkuu wewe nenda tu upime. tulikuwa tumepanga na wife wiki iliyopita twende kucheki afya kwa ajili ya kiafya mojawapo HIV.So kabla ya jumamosi mm nikaenda zangu Burhani hospital actually nilikuwa naenda kucheki thyroid profile yangu nikamwambia na daktari nipime na hiv! basi nikasubiri kama two hours nipo kwenye gari network haikamati ila nilimwambia wife nacheki kubwa kabisa, basi yeye yupo class moja ya jioni hivi anauliza kila dakika vipi majibu? nikaenda yachukuwa, si unajua hawakupi yanakuja yamefungwa? Dr akafungua ile karatasi kwa chini nikaona stamp ya NEGATIVE! NIKAPUMUAJE? sasa mziki ukawa kwa wife nikaanza mtishia huku hali mbaya aisee! akanitumia message akasema aisee nasikia kuharisha na muda huo akatamani kutoka class ikabidi nimtie moyo tu! so nakushauri uende kwa ujasiri ingawa yataka moyo kweli!
 
Hao jamaa watakukaribisha vizuri wakati wa kukutoa damu, lakini watakutisha sana wakati wa kukupa majibu!
 
Back
Top Bottom