kokotoa
Senior Member
- Aug 15, 2009
- 109
- 114
Msifanye masiara Mutu ikisema inaogopa kupima ujue kuna tatizo hapo!
Afu kupima sio issue! Issue ni kupokea majibu!
Mm nimepima mara tatu lakini sjachukua majibu!!!!
ha ha ha
Msifanye masiara Mutu ikisema inaogopa kupima ujue kuna tatizo hapo!
Afu kupima sio issue! Issue ni kupokea majibu!
Mm nimepima mara tatu lakini sjachukua majibu!!!!
Kwakweli sio jambo rahisi hasa ikiwa ndio mara yako ya kwanza..habari wana Jf natumaini mu wazima wa afya,
Naleta Thread yangu kwenu niweze kupata ushauri. ila ctapenda maneno ya karaha .
Natamani kupima afya yangu ila naogopa majibu, najua wengi mmepima. nahitaji faraja zitakazonisukuma niweze kutimiza ndoto hii.
miss strong napgopa mwenzio acha tu,hapo kwenye moyo kukubali hapo........
Ha ha ha ipo siku utapima tu..... Heaven on earth!!!!!!utajiamulia kupima
ntaenda tu,ila nisije kimbia majibu kama Mashaxizo
Ha ha ha lazima ubanwe na mkojo.....ila itakuwa fresh Heaven on earth,muanzisha mada ana hofu tu maana alitoka mbeya kwa ajili yakufuata toto la jf Dar,anakwambia totoz haikuwa portable lakin ni mifupa.Sema nachoshukuru pozzyfaza hakuiacha.......hapo chachaaaaaa!
hahaaa kweli jf kisima cha burudani,totoz haikuwa portable lakin ni mifupa......
jana ulimuona kalikuwa anataka kuhamishia majeshi kwa Smile
habari wana Jf natumaini mu wazima wa afya,
Naleta Thread yangu kwenu niweze kupata ushauri. ila ctapenda maneno ya karaha .
Natamani kupima afya yangu ila naogopa majibu, najua wengi mmepima. nahitaji faraja zitakazonisukuma niweze kutimiza ndoto hii.
wengi wetu tuko wrongly informed kuhusu HIV AIDS, mafundisho kwa vijana yamekuwa ni yale yale toka darasa la tatu hadi chuo. wengi tumefundishwa kuugopa UKIMWI zaidi kuliko facts za UKIMWI wenyewe na ndo maana ukishasikia neno ukimwi kengele inayolia kichwani mwako ni HOFU na ndiyo maana tuna unyanyapaa na ubaguzi usio na sababu ya msingi. Serikali na mataifa hisani wanatoa fedha nyingi katika kufanikisha dhana ya kupunguza UKIMWI lakini wahusika wanafuja pesa ilihali vijana wanaendelea kuangamia. Hivi unajua watu kama wewe wenye HIV/AIDS phobia ni wengi sana nikiwemo mimi.
well, back kwenye ushauri ni kwamba elewa kuwa HIV sio uchawi na ili upate u need to really search,find and have it(INABIDI UUTAFUTE). namaanisha all factors are suppose to remain biologically constant. vile vile inategemea na how often u make the same mistake when u make contact to different people. (kiukweli kama huwa huvai kabisa plastic na unafanya na watu tofauti tofauti basi unakuwa katika hatari). kwa hiyo kama umekuwa makini kiasi cha kukumbuka plastic kwa kila tendo huna haja ya Kuogopa we nenda kapima, there is big chance uko negative.