Natamani Kupigwa Ban

Natamani Kupigwa Ban

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,177
Huu Ni Mwaka wa 3 sasa ndani ya JF huwaga Ban naisikia tu natamani na mm niipate siku moja.Mwenye uelewa anieleweshe ukipigwa Ban unaishije? Au nifanye kitu Gani na mm hiyo Ban niipate?
 
Mmh!! nenda jukwaa la stress utapata manundu ya BAN sasa hivi!!!
 
Duh! kama huwa hauendi huko basi suala la BAN sahau kabisaaaa maana huko ndio kuna viwanda vya watoa povu, ukimchokora kidogo basi utamiminiwa vitenzi vikurupushi "matusi", sasa nawe ukiwa na jazba ukirudishia tu kitu kinachofuata ni BAN.

hahaha!! Kule huwa Naingia kwa mwaka mara moja
 
muulize tedo akupe siri ya ban

Huu Ni Mwaka wa 3 sasa ndani ya JF huwaga Ban naisikia tu natamani na mm niipate siku moja.Mwenye uelewa anieleweshe ukipigwa Ban unaishije? Au nifanye kitu Gani na mm hiyo Ban niipate?
 
Last edited by a moderator:
Fumba macho ukifumbua tayari Ban hiyooooooo!
 
Mtukane Invisible matusi ya ndani na nje ya nguo... Yaani hapo fasta unaipata ban
 
Back
Top Bottom