Natamani Kupigwa Ban

Natamani Kupigwa Ban

hawanaga alama, ni kana usalama wa taifa wa zamani. Maana hawa wa siku hizi kufanya kazi huko ndo sifa za mtaani... Zamani ilikuwa huwezi sikia mkurugenzi wa usalama wa taifa eti anajibishana na wanasiasa..
hahahaha,,kweli kabisa mkuu,,Walikuwa wanaitwa Invisibles sasa hivi unakutana na Raia mtaaani akishakunywa Serengeti mbili anaanza kijitapa Ooooh mimi Usalama wa Taifa,,,,
 
Huu Ni Mwaka wa 3 sasa ndani ya JF huwaga Ban naisikia tu natamani na mm niipate siku moja.Mwenye uelewa anieleweshe ukipigwa Ban unaishije? Au nifanye kitu Gani na mm hiyo Ban niipate?

Hebu poromosha matusi ya nguoni kwa nguvu zote. ikiwezekana mporomoshee Kongosho afu uniPM ukimaliza kuporomosha matusi.
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilipo nafundwa jinsi ya kuepuka Ban...Halafu si unajua hili ni Juma Takatifu ndo tunamalizia kwa Resma siwezi kumfindisha matusi..
Ban Rehab,,hahaha umetisha sana
 
Back
Top Bottom