Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Klay King

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
148
Reaction score
277
Baada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.

Hakuna kitu kizuri kama kupenda nitapends tena haijalishi nitampata wapi iwe mtwani,kanisani,jamii forums au maeneo ya starehe

Nipo tayari kupenda na kwa maana hiyo basi nipo tayari kuumia pia kama mambo yakienda ndivyo sivyo.

Nitaleta hicho kisa cha huyo ex wangu miaka miwili iliyopita soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi kama umeachana na mtu, jaribu pia kuacha kila kitu kinachomuhusu huyo mtu...

Wewe ni mwanaume huna haja ya kusimulia kisa cha mpenzi wako wa zamani... Baki nayo moyoni

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Baada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.

Hakuna kitu kizuri kama kupenda nitapends tena haijalishi nitampata wapi iwe mtwani,kanisani,jamii forums au maeneo ya starehe

Nipo tayari kupenda na kwa maanw hiyo basi nipo tayari kuumia pia kama mambo yakienda ndivyo sivyo.

Nitaleta hicho kisa cha huyo ex wangu miaka miwili iliyopita soon

Sent using Jamii Forums mobile app
UPO TAYARI KULIZWA TENA MKUU, usione sisi hatuanzishi thread kama yako ukadhani hatutaki kupenda ,tunataka,but wakupendwa hawapo,yani kuna muda unakaa unasema nikimpata aliyetulia ntamfanyia hivi na hivi lakini ghafla unaskia sauti inatoka ndani ya akili yako inasema "acha ufala utakufa?
 
sure
 
Hahaha umenifanya nicheke sana kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.
Hakuna kitu kizuri kama kupenda nitapends tena haijalishi nitampata wapi iwe mtwani,kanisani,jamii forums au maeneo ya starehe
Nipo tayari kupenda na kwa maana hiyo basi nipo tayari kuumia pia kama mambo yakienda ndivyo sivyo.
Nitaleta hicho kisa cha huyo ex wangu miaka miwili iliyopita soon
Sent using Jamii Forums mobile app
si wengine kupenda ili kula umbwa
 
Baki hvyo hvyo kaka

Sawa ila fuata huu Ushauri
FB_IMG_1551995108346.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom