Natamani kupenda tena

Very sorry
Wat happen to yo is lyk wat happen to me! I used to lov a chick like no body in the earth lakn kilichotokea mpk sasa Mungu ndio anajua....Lakn tatzo lilikuwa ni long distance lov

Lord have mercy to me!
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Ulivyo ni pamoja na chura, sura,... Sasa ukisema eti ulivyo halafu hutaki chura I we kigezo moja wapo wakati unavyo mbona inachanganya..
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hellow,tulia poteza mawazo ya mapenzi kwa sasa tafuta mbadala wa starehe kwako itakusaidia,hali uliyo nayo kitaalamu ni POST TRAUMATIC STRESS DISORDER, maamuzi yoyote kwenye mapenz kwa sasa tunaamin 85% sio maamuzi sahihi na kuna uwezekano wa kujuta badae,ushauri wangu LET THINGS GO NATURAL, be blessed.
 
Dah wee mwenyewe utakuwa Na tatizo,unaonekana kuwa so selective kwani haiwezekani kila mtu kwako awe mbaya. Waone wataalum wa saikolojia watakuaaisia kabla ya kuingia kwenye maombi.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Me nimeshakupenda hivyo hivyo ulivyo. Kwa vyovyote vile me nakupenda. Nipo Zanzibar nitafute private. Nampenda mtu alietendwa coz I believe she knows the the impact of kutendwa she will not do to me. Please come to my personal contact
 
Back
Top Bottom