Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,777
- 126,724
Sawa usijaliNiko poa kabisa!
Mlete uzi akinijibu ombi langu naomba unishtue.
Mimi pia nakupenda bana nitakufungulia uzi PM[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sawa usijaliNiko poa kabisa!
Mlete uzi akinijibu ombi langu naomba unishtue.
[emoji849][emoji849][emoji849] Msalimie wifiSawa usijali
Mimi pia nakupenda bana nitakufungulia uzi PM[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Salamu zimefika[emoji849][emoji849][emoji849] Msalimie wifi
Basi naomba kuupokea upendo wako thad..Njoo unipende mimi maana mimi pia natamani sana kupendwa!
Ndo kusema kuanzia sasa nikae mkao wa kupendwa sio?[emoji6]Basi naomba kuupokea upendo wako thad..
20sUna umri gani mkuu? 20s, 30s, 40s? Nauliza kwa nia njema kabisa.
Ndio thad nasubir go ahead yakoNdo kusema kuanzia sasa nikae mkao wa kupendwa sio?[emoji6]
Asante, nilikuwa nakutania tu. Nakutakia kila la heri, Mungu akujalie haja ya moyo wakoNdio thad nasubir go ahead yako
Asante mkuu, nakuja.
Auntie bana ni Q si unajua sasa yuko na SMie nilijua kaboom ujue!!! Uzee huu balaa tupu!! Bado sijamng'amua.
mimi ni Me mkuuAsante mkuu, nakuja.
Ahsante thad..Asante, nilikuwa nakutania tu. Nakutakia kila la heri, Mungu akujalie haja ya moyo wako
Mtoa Mada ebu njoo tupendane...[emoji76] [emoji76] tusambaze upendoNimemiss kupenda jamani mwenzenu natamani nimpate mwanamke wa kumpenda. nimpende kwa moyo wangu wote nimdekeze nimwite mama.
Jamani hakuna raha kama kupata mtu unayempenda kwa dhatiii yaani hata ukimshika mkono mwanamke mwingine roho inanisuta kua namfanyia vibaya mpenzi wangu.
Natamani nimpate wangu tuwe tunakuaa pamoja kama kumbikumbi.
Nimeweka ahadi sita sex na mtu, sita kiss,sita hug na mwanamke yoyote tofauti na mwanamke nitakae mpenda kwa dhati toka moyoni.
Kwakwel atakua mwanamke special kwenye hii dunia.
Nitamuheshimu,nitampenda sana,nitamtunza,nitamjali.
Nakusubir kwa hamu Chaguo langu la moyo
Naomba kuupokea upendo wako.Mtoa Mada ebu njoo tupendane...[emoji76] [emoji76] tusambaze upendo
Ndiyo, kwani mimi kuna sehemu nimesema wewe ni ke?mimi ni Me mkuu
Utakuwa mgonjwa wewe nikajua mwanamke, uliwahi ona wapi mwanaume anapenda??Nimemiss kupenda jamani mwenzenu natamani nimpate mwanamke wa kumpenda. nimpende kwa moyo wangu wote nimdekeze nimwite mama.
Jamani hakuna raha kama kupata mtu unayempenda kwa dhatiii yaani hata ukimshika mkono mwanamke mwingine roho inanisuta kua namfanyia vibaya mpenzi wangu.
Natamani nimpate wangu tuwe tunakuaa pamoja kama kumbikumbi.
Nimeweka ahadi sita sex na mtu, sita kiss,sita hug na mwanamke yoyote tofauti na mwanamke nitakae mpenda kwa dhati toka moyoni.
Kwakwel atakua mwanamke special kwenye hii dunia.
Nitamuheshimu,nitampenda sana,nitamtunza,nitamjali.
Nakusubir kwa hamu Chaguo langu la moyo
Na note huu ushauri wako mkuu. umeongea point. Thanks mkuuNdiyo, kwani mimi kuna sehemu nimesema wewe ni ke?
Tuje kwenye mada, maoni yangu mkuu ni kama ifuatavyo, kwa kuwa wewe ni over 18 years, nakutreat kama mtu mzima na nafunguka tu. Katika maisha yako ya mahusiano, jitahidi sana uepuke kupenda kuzidi kiasi, ukipenda kuzidi kiasi itakugharimu sana, utashindwa kufanya vitu vingi vya msingi kama mwanaume na kikubwa zaidi, kupenda sana kutakupelekea kwenye maangamizi...
Huyo mwanamke unaempenda kiasi cha kumwabudu utakuja kukuta mshikaji anamla tigo kwa hiari yake, utakimbilia porini na kamba mkononi kwenda kujinyonga.. Kuna madhara mengi sana kwa mwanaume kumpenda mwanamke kupitiliza, hapo nimesamaraizi.