Natamani kupenda, nimemiss kupenda

Natamani kupenda, nimemiss kupenda

Nimemiss kupenda jamani mwenzenu natamani nimpate mwanamke wa kumpenda. nimpende kwa moyo wangu wote nimdekeze nimwite mama.
Jamani hakuna raha kama kupata mtu unayempenda kwa dhatiii yaani hata ukimshika mkono mwanamke mwingine roho inanisuta kua namfanyia vibaya mpenzi wangu.

Natamani nimpate wangu tuwe tunakuaa pamoja kama kumbikumbi.
Nimeweka ahadi sita sex na mtu, sita kiss,sita hug na mwanamke yoyote tofauti na mwanamke nitakae mpenda kwa dhati toka moyoni.
Kwakwel atakua mwanamke special kwenye hii dunia.
Nitamuheshimu,nitampenda sana,nitamtunza,nitamjali.

Nakusubir kwa hamu Chaguo langu la moyo
Njoo nikuite babaaa
 
Sikushauri kupenda kiasi hicho ulichojinadi hapo mkuu,dunia ni uwanja wa fujo utashangaa umemkabidhi mtu moyo wako lakini akaudundisha kama kitenesi,, watch out
Ndio maaana namuomba Mungu anilete yule aliyeniandalia...
maana kwa kutumia utashi wangu naweza angamia
 
Huyo huyo nilivyoona ALAAA tu anapenda kulitumia sana au EBOO usimchanganye na Kaboom ujue najua umeelewa sasa hivi yuko na S
Mie nilijua kaboom ujue!!! Uzee huu balaa tupu!! Bado sijamng'amua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom