Natamani kuolewa

Kwenye maisha ya mahusiano kitu "wrong person" ni wachache ila kinachotokea tu wrong selection kutokana na vigezo ambazo tumejiwekea maana kwako anaweza kuwa wrong person alafu mtu huyo huyo kwa mwingine akawa ni perfect match mpaka mdada anatoa ushuhuda na wewe tena ukapata mtu mwingine ambae alikuwa wrong person kwa mdada mwingine lakini akawa super mpaka unajisemea kwanini hatukukutana mapema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom