Mwanamke wa kuoa na kupata utulivu ni kuanzia 36+ na awe kazaa watoto au mtoto βΉKama hao wasumbufu tafuta kuanzia 26+. Kila la kheri kiongozi
Sikubaliani na wewe labda kama umeamua kuchangamsha gengeMwanamke wa kuoa na kupata utulivu ni kuanzia 36+ na awe kazaa watoto au mtoto [emoji852]
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.
Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha? Kwan saiv unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia [emoji25][emoji25][emoji25] Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.
Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe [emoji42][emoji42][emoji42] , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.
Sikubaliani na wewe labda kama umeamua kuchangamsha genge
Sina point nyingi ila umri hauhusiani na kutulia au kutotulia kwa mtuNipo point za kuto kubaliana na mimi kwanza, na mie niweke point zangu
[emoji1787][emoji1787] mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?
Sina point nyingi ila umri hauhusiani na kutulia au kutotulia kwa mtu
Acha umalaya, kuna magonjwa kama Ukimwi na magonjwa ya ini.
Pia acha kulala na wanawake ovyo ovyo...
Kama unaogopa hao wadodogo wadogo.. tafuta mwanamke ambae amezaa watoto kuanzia wawili, hao huwa wengi wanakuwa wamekomaa na wanaamua kuishi maisha na age isishuke chini ya 35...
Uo mzeee ingia kwa ndoaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asante mkuu ngoja niendelee kudanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hawa pia wanachangamoto zaoMwanamke wa kuoa na kupata utulivu ni kuanzia 36+ na awe kazaa watoto au mtoto [emoji852]
Ivi kuna malaya wa kukuzidi wew humu mdau....
Mimi mwenyew nimejikuta bado nipo vidudu nawew upo chuo kikuu
Hawa pia wanachangamoto zao
Mzee baba we kula bata umri huo bado subiri ufike 29-30[emoji1787][emoji1787] mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?